BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
😝😝😝 JackieeeSean BridonView attachment 2413231
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😝😝😝 JackieeeSean BridonView attachment 2413231
Nakubaliana na wewe, hata kina Joti wangekua wanaweza kuongea English Vizuri wangeweza tu kwenda kupiga Show nje!Sabinus siyo mchekeshaji, ni komedian tuu wa mtaani kama akina Dulivani.
Yani huyo jamaa ni sawa na kumlinganisha Eric Omondi na Crazy Kenar.
Huyo jamaa ni mtengeneza social media memes tuu lakini hana uchekeshaji wowote.
Subiri mimi nakuletea Link za baadhi ya Show zake za Ulaya, hayo maswala list sio issue!Anafanya wapi mkuu embu leta list of tour yake?
nilikua namfatilia sana comedian wa Kenya anaitwa Alex Mathenge ila nilipopata chaka la Sabinus nikaweka kambi kwanza kwa huyu mwamba.Hapo hata mimi huwa ananifurahisha mno
Dubai.Anafanya wapi mkuu embu leta list of tour yake?
Dubai.
Eric amefanya show nje toka miaka mingi, kuna tour Omondi kafanya Europe miaka 5 mpaka 9 iliyopita.
Hii ya majuzi Qatar
Nijibu kwa hoja.Hakuna hajanichekesha
Travor kinachombeba ni ukaburu basi alichomzidi sabinus ni Rangi tuNijibu kwa hoja.
kitu nachopenda kama commedy. Na movie nazoangamia nying za commedy. Kwenye laptop tu nina series asilimia 90 commedy. Nilinunua external nijaze tu commedy kwa hiyo kama mdau wa commedy Africa hakuna kama Trevor Noah. .
Jamiiforums ni kitovu Cha maarifa, basi America commedy central ni kitovu Cha commedy. Trevor Noah kaajiriwa commedy central America kipindi ambacho kinafatiliwa na watu wengi duniani na yeye ndio kivutio Cha kipindi. .
Tufafanulie Sabinus kamzidi nini Trevor? Muigizaji huwezi mfananisha na mtu anafanya stand up commedy kazi yake ni kuchekesha. Hata jamaa wa Uganda Salvador Yuko mbali sana. .
Ukiachana na movie kukuonyesha nafatilua commedy nitaweka series kuntu za commedy duniani ambazo naweza hata zipiga picha kwa PC uone:
1. Friends
2. Seinfeld
3. Big Bang theory
4. Malcolm in the middle
5. Wonder years
6. Fraiser
7. Brooklyn nine nine
8. Cheers
9. Mom
10. Fresh from the boat
11. Scrubs
12. Bob hears Abishola
13. Boys meet world
14. Guys with kids
15. Melissa and Joey
16 raising hope
17. Shirts creek
18. Marvelous Mrs maisel
19. The office
20. Young Sheldon
21. Atlanta FX
22. That 70s Show
23. Freaks and Geeks
ETC
Kama wewe mdau wa commedy unaweza tolea kigezo gani umepe jamaa number Moja Africa?
Thank you. .
Hawa ndo wachekeshaji sasaSean BridonView attachment 2413231
Ndo Nani mbona Afrika hatumjuiHabari za mda huu wanajukwaa
Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS
ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo
Kama Kuna yeyote anaejua comedian bora kumzidi aniambie nijaribu kumfuatilia
Maaana uyu jamaa hakika nmetoka kukubali mno kazi zake jinsi alivyo tu ni kituko haswa
Amewateka Hadi wazungu maana naona anapiga sana show UK , na U.S.A
Hili liwe funzo kwa wakongwe wa Tz kina joti nk
Kuwa sio mzikitu unaweza tutangaza hata commedy pia
View attachment 2413208
Hawa ndo nawajua mm na Afrika inawajua na sio hao wahuni sabinininn cjuiSean BridonView attachment 2413231
Hamna kitu labda ujichekeshe Kam chizi,ila Mweny akili anaona kabisa hapa Amna cha kuchekesha