Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Travor kinachombeba ni ukaburu basi alichomzidi sabinus ni Rangi tu

Asa travor anachekesha kitu gani ivi umemuangalia sabinus kweli au ndo ulimuana tu kwenye nyimbo ya BUGA
Kama lugha inakupiga chenga huwezi ona T. Noah anachekesha nini. Sabinus anabebwa na population kubwa ya Nigeria hivyo ana mashabiki wengi kule, na ni kawaida yenu kitu kikitrend Nigeria mnaona ndio the best hapa Afrika
 
Kuna njugushi,crazy kennar, raazy junior huyu raazy anachipukia na bado anahitaji sapoti ya kununua vifaa ...

Kuna yule wa fate comedy ana kipengele anaota "boyfriend wa Jana" hapo anakuwa kama Vinnie baite kashakula miraa ni uongo mtupu.

Eric omondi anakuwa bora kwa vile ana uthubutu wa kufanya utani na mtu yeyote hata awe raisi au nn ,kiufupi ni comedian anayeenda na wakati japo sio mkali sana.

Huyu jamaa namjua kule Instagram anajiita "Mr funny" ana content za maana Kuna ile anajifanya anapiga picha kumbe kakanyaga hela😂😂😂vile anacheza na hilo shati lake la 🔵 hajawai badilisha...
 
Bora umenena watu wana chuki mno
 
Sabinus siyo mchekeshaji, ni komedian tuu wa mtaani kama akina Dulivani.

Yani huyo jamaa ni sawa na kumlinganisha Eric Omondi na Crazy Kenar.

Huyo jamaa ni mtengeneza social media memes tuu lakini hana uchekeshaji wowote.
Krazy kennar ndio best comedian Africa
 
Travor kinachombeba ni ukaburu basi alichomzidi sabinus ni Rangi tu

Asa travor anachekesha kitu gani ivi umemuangalia sabinus kweli au ndo ulimuana tu kwenye nyimbo ya BUGA
Unajua mzee wangu Huwa akiwaona mzee Onyango na Mwita wakichekesha mzee anacheka Hana mbavu. Sasa mie naona wanazungumza tu😄😄
Ndo ivyo nakuona wewe. Hujui chochote😬

Trevor sio mkaburu nadhani unabathatisha tu kwa kuwa ni mweupe. .

Hata Kuna Anne Kansiime bado Sabinus hampati. Mie namkubali Njugushi wa Kenya kuliko hata huyo Sabinus kwenye commedy bado ndo anaanza labda hapo baadae.

Kwanza Kuna akina
1. Salvador wa Uganda
2. Basket mouth
3. Professor Hammo
Nachoka hata kuandika bado huyo Sabinus Yuko nyuma sana kwenye line. Endelea kubisha ila hujui chochote umeshiba na umeamua kutuchosha. .

Ila kichwa Cha habari umeuliza Kun anayemzidi Sabinus tunakutajia unakata😄
 
Nikimjua mkeo nnaemkula ukisafiri inatosha
Sheikh ubishi na matusi ni kwa ajili ya wajinga usifanye hivyo. Hatuwezi zungumza mambo bila matusi?

JF mnaiharibu hamna uvumilivu hata kidogo
 
Mleta uzi umekaza ubongo hatari, unataka wote waone huyo jamaa yako anachekesha kuliko wote wakati kila mtu ana machaguo yake.

Umeoneshwa mafanikio ya wengine waliomzidi mwamba bado umekazaa.

Nimemcheki ni kawaida tu mbona.
 
Sheikh ubishi na matusi ni kwa ajili ya wajinga usifanye hivyo. Hatuwezi zungumza mambo bila matusi?

JF mnaiharibu hamna uvumilivu hata kidogo
Mkuu huyu jamaa kaanza kunichafua juu apo ,yey hatak kupingwa juu ya huyo sabinus ambae sisi hatumjui
 
Stand up commedy ni wachekeshaji halisi.... hawa wa clip wakae kando kwanza...

Afuatilie show za church hill akutane na viChaa. kama prof Harmo
 
Sheikh ubishi na matusi ni kwa ajili ya wajinga usifanye hivyo. Hatuwezi zungumza mambo bila matusi?

JF mnaiharibu hamna uvumilivu hata kidogo
Afu muhuni unajikuta una Id mbili humu unabishana na Baba zako kabisa jichunge
 
Stand up commedy ni wachekeshaji halisi.... hawa wa clip wakae kando kwanza...

Afuatilie show za church hill akutane na viChaa. kama prof Harmo
Professor Hammo ni kichwa ana ubunifu wa pekee. Ana nafasi ya kufika mbali sana. Akifanya show moja nzuri bongo hapa nilipenda San. Na churchil show anaitendea vyema. .

Huyu anaandika tu hawezi wajua true comedian wanableed and sweat commedy. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…