Ile aliyokuja bongo wale jamaa wa cheka tuu wanapiga dk 10 tuu hoi labda mc madevu anajitaid..Professor Hammo ni kichwa ana ubunifu wa pekee. Ana nafasi ya kufika mbali sana. Akifanya show moja nzuri bongo hapa nilipenda San. Na churchil show anaitendea vyema. .
Huyu anaandika tu hawezi wajua true comedian wanableed and sweat commedy. .
Point kabisa ata mm Dulvan sioni anachochekesha lakn Unakuta jitu linakuja lichekaa😅😅😅😅Ukiona hao akina Dulvan, Crazy Kenar wanakuchekesha basi wewe hujajua tofauti ya comedy na watengeza memes za vichekesho...
Mie napenda commedy sana kwa kuwa nilikuwa Nina ndoto za kuwa stand up commedian. Nilikuw naandika scrip za commedy nzuri tu. .Ile aliyokuja bongo wale jamaa wa cheka tuu wanapiga dk 10 tuu hoi labda mc madevu anajitaid..
mwamba prof Hammo alipiga zaid ya dk 40.. na zote ni fire🤣
Umeelewa tulipoanzia!?Kumbe ni hizi shows za uchochoroni. Hizi anazo-perfom mbele ya ''wabeba box'' na inner circles zao? Nilidhani ni zile za kufanyia kwenye kumbi zinazoeleweka.
Hongera unayeijuaUkiona hao akina Dulvan, Crazy Kenar wanakuchekesha basi wewe hujajua tofauti ya comedy na watengeza memes za vichekesho...
Mimi ndiyo mwanzishaji.Umeelewa tulipoanzia!?
Hawa ndio kibokoSean BridonView attachment 2413231
Haya weka sasa na wewe show za huyo Mnigeria ambaye huwa hafanyi show za Uchochoroni ili na sisi tuone!Mimi ndiyo mwanzishaji.
Umeandikaa takataka sabinus nomaUnajua mzee wangu Huwa akiwaona mzee Onyango na Mwita wakichekesha mzee anacheka Hana mbavu. Sasa mie naona wanazungumza tu[emoji1][emoji1]
Ndo ivyo nakuona wewe. Hujui chochote[emoji51]
Trevor sio mkaburu nadhani unabathatisha tu kwa kuwa ni mweupe. .
Hata Kuna Anne Kansiime bado Sabinus hampati. Mie namkubali Njugushi wa Kenya kuliko hata huyo Sabinus kwenye commedy bado ndo anaanza labda hapo baadae.
Kwanza Kuna akina
1. Salvador wa Uganda
2. Basket mouth
3. Professor Hammo
Nachoka hata kuandika bado huyo Sabinus Yuko nyuma sana kwenye line. Endelea kubisha ila hujui chochote umeshiba na umeamua kutuchosha. .
Ila kichwa Cha habari umeuliza Kun anayemzidi Sabinus tunakutajia unakata[emoji1]
Waanzishe nyuzi zao sijaita mtu umuMleta uzi umekaza ubongo hatari, unataka wote waone huyo jamaa yako anachekesha kuliko wote wakati kila mtu ana machaguo yake.
Umeoneshwa mafanikio ya wengine waliomzidi mwamba bado umekazaa.
Nimemcheki ni kawaida tu mbona.
Sabinus bongo mnahela ya kumlipa?Professor Hammo ni kichwa ana ubunifu wa pekee. Ana nafasi ya kufika mbali sana. Akifanya show moja nzuri bongo hapa nilipenda San. Na churchil show anaitendea vyema. .
Huyu anaandika tu hawezi wajua true comedian wanableed and sweat commedy. .