Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?



mwamba huyu hapa sabinus bado mtoto sana tena sanaaaaaaaaa kwa legend
 
Hongera sanaa mkuu tia bidiii kipaji kipo
 
Najua unapenda animations pia! Em niwekee list ya animations kali kali latest nizitafute mkuu
 
Najua unapenda animations pia! Em niwekee list ya animations kali kali latest nizitafute mkuu
Latest sijaamgakia animation sana. Animation ya mwaka huu nilivyoona ni croods peke yake. .

Kwa PC Nina animation 116 lakin sio za mwaka huu. Animation nazozikubali
1. Minions na zile tatu za despicable me
2. Croods
3. Incredibles
4. Boss Baby
5. Nut Job Ile ya panya
6. Zambezia
7. Zootopia
8. Small foot
9. Big foot
10. Ronal the barbarian hii ya mwaka 2011 naikubali sana
11. Moana
12. Mr Peabody na kijana Sherman
13. Kung Fu panda
14. Zile za Madagascar zote full comedy na Yuko waigizaji wawil naowakubali Chris Rock (stand up commedian) na Ross from friends series
15. Hotel Transylvania
16. Smurfs

Tom and Jerry nyingi sana

Kuna Moja series nilikuwa nafatilua nishakumbuka Rick and Morty sasa itakuwa mbali sana

Za mwaka huu zipo kwa dogo sema nitaenda kuzichuku nilichukua croods peke yake. .
 
Hongera sanaa mkuu tia bidiii kipaji kipo
Sio rahisi Kila Jambo ni rahisi kulitizama ila ukiingia ndani unakuta kazi ni kubwa. .

Yale mambo nilikuja yapiga chini Nina familia kubwa sasa inanitegemea. Inabidi wale. .
 
Pamoja mkuu! Noted
 
Kuna kuwa comedian na kuwa kituko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…