Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Habari za mda huu wanajukwaa
Kutokana na kazi za uyu bwana SABINUS
ambae jina lake halisi ni EMANUEL CHUKUEMEKA nmeleta andiko hili sio kwa ubaya ila kuuliza wajuvi wa mambo
Kama Kuna yeyote anaejua comedian bora kumzidi aniambie nijaribu kumfuatilia
Maaana uyu jamaa hakika nmetoka kukubali mno kazi zake jinsi alivyo tu ni kituko haswa
Amewateka Hadi wazungu maana naona anapiga sana show UK , na U.S.A
Hili liwe funzo kwa wakongwe wa Tz kina joti nk
Kuwa sio mzikitu unaweza tutangaza hata commedy pia
View attachment 2413208
mwamba huyu hapa sabinus bado mtoto sana tena sanaaaaaaaaa kwa legend