Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 3, 2026 #1 Neno democracy kwa afrika naomba liondolewe litafutwe jina lengine mfumo wa utawala wenye jina lake. Leo hii waziri Katambi na CCM wake hata katiba iliyopo ni shida kuitumia
Neno democracy kwa afrika naomba liondolewe litafutwe jina lengine mfumo wa utawala wenye jina lake. Leo hii waziri Katambi na CCM wake hata katiba iliyopo ni shida kuitumia
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,297 Jul 3, 2026 #2 Wananchi kariba wote Africa wanatawaliwa kimabavu. Mfano Tanzania, hawakuchaguliwa na wananchi waliopo.
Wananchi kariba wote Africa wanatawaliwa kimabavu. Mfano Tanzania, hawakuchaguliwa na wananchi waliopo.