TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610


Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili.

Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo.

Mwamuzi alisimamisha pambano hilo mara moja baada ya kubaini hali mbaya kwa Buthelezi.

Bondia Mntungwa alipewa ushindi wa pambano Hilo kwa njia ya TKO huku Buthelezi akikimbizwa katika Hospitali ya King Edward VIII ambako madaktari waligundua ubongo ulivuja damu na kumweka mpiganaji huyo katika hali ya kukosa fahamu kutokana na matibabu.

Taarifa zinaripoti kwamba Bondia huyo alifariki Leo asubuhi baada ya jitihada za kumtibu kushindikana.
===

South African boxer Simiso Buthelezi has died following his fight with Siphesihle Mntungwa on Sunday. Buthelezi's fight went viral when he was shown punching aimlessly and away from his opponent after knocking Mntungwa into the ropes.

The referee immediately stopped the fight as something was obviously wrong with Buthelezi. Mntungwa was given the victory via TKO while Buthelezi was rushed to King Edward VIII Hospital where doctors discovered a brain bleed and placed the fighter in a medically-induced coma.

Boxing South Africa released a statement confirming Buthelezi's death on Wednesday morning.

It is with great sadness for Boxing South Africa and the Buthelezi family to announce the passing away of Mr Simiso Buthelezi, who passed away last night on June 7 in hospital in Durban," the statement read. "Towards the end of his bout, Mr Buthelezi collapsed and was taken to hospital and it was discovered that he suffered a brain injury which resulted in internal bleeding. At the hospital, Mr Buthelezi was given the best care possible but he succumbed to the injury."

Buthelezi came into the WBF African lightweight title bout with a record of 4-0 as a professional and seemed to be clearly on his way to picking up yet another win when the injury took hold.

"There wasn't anything untoward in the fight and in training," Bheki Mngomezulu, Buthelezi's trainer, told News24. "He was leading the fight on points before the unfortunate incident occurred.

"I really can't explain what happened, to be honest. It was bewildering, but in his training and in the build-up to the fight, there was nothing untoward with regards to his condition. He was in good nick before the fight."

Buthelezi was 24.
 
hapa madaktari wanalo la kujibu kuhusu hii induced comma
 
Mimi kwangu Boxing sio mchezo. Ni mapigano. Tangu lini mapigano yakawa mchezo? Tena mapigano yenyewe yanaweza kusababisha kifo wakati wowote!
 
Ajabu kwa baadhi ya Watanzania, Muamuzi anapoamua kumaliza pambano mapema na kumpa ushindi Mwakinyo kabla hajamlemaza au kumuua kabisa mpinzani wake huwa wanalalamika na kumkashifu sana Muamuzi husika.

Sasa hiyo chelewachelewa ya kufanya maamuzi matokeo yake ndio hayo!.
 
I saw the fight.
Haionekani ngumi nzito zilizofanya hiyo damage ktk ubongo.
Labda alikuwa mgonjwa kabla.
 
Asilimia kubwa ya mabondia ni wale ambao hawana elimu wala kazi nyingine hivyo wanaona kujiajiri huko tu
 
Back
Top Bottom