TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

Hivi nimeona mimi peke yangu au?, Jamaa anapiga hewa kabisa tena pembeni mbali kabisa na mpinzani!.
Aliyekufa ni yupi kati ya yule aliyekuwa anapiga hewa au yule mwengine ambaye alidondoshwa kabla?.
 
Huu mchezo mtu anapata point kwa kubutua kichwa hapana
Yaani huu mchezo ni wa ajabu sana!

Ukimpiga mpinzani wako chini ya kitovu karibia na kichwa cha chini unakatwa point ila ukimpiga sehemu muhimu inayoratibu mambo yote ambayo ni kichwa unaonekana wewe shujaa.
 
Madhara ya kupigwa sana ngumi za kichwani
 
I saw the fight.
Haionekani ngumi nzito zilizofanya hiyo damage ktk ubongo.
Labda alikuwa mgonjwa kabla.
Shida za ubongo huwa Ni endelevu pambano mpka pambano.

Unakuta alikua anaumia kdg kdg mechi zikizopita
 
Shida ya mabondia wa kiafrika hakuna uwa wengi hawajali afya zao haswa baada ya mchezo na hata vile vipimo wanavyopima siku moja kabla ya mchezo uwa havizingatii utimamu wa ubongo na hata fuvu la kichwa, kuna bondia marekani anaitwa zab judah aliachana na ngumi baada yakubainika kavunjwa mbavu kwenye pambano lake dhidi ya micky ward mpaka sasa anaishi ingekuwa bongo ni shida na tukio la uyo msouth ndiyo lilomkuta mtoto wa rashidi matumla baada yakupasuliwa fuvu na mfaume mfaume.
 
Back
Top Bottom