chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Aliyekufa ni yupi kati ya yule aliyekuwa anapiga hewa au yule mwengine ambaye alidondoshwa kabla?.Hivi nimeona mimi peke yangu au?, Jamaa anapiga hewa kabisa tena pembeni mbali kabisa na mpinzani!.
Aliyekua anapiga hewaAliyekufa ni yupi kati ya yule aliyekuwa anapiga hewa au yule mwengine ambaye alidondoshwa kabla?.
Yaani huu mchezo ni wa ajabu sana!Huu mchezo mtu anapata point kwa kubutua kichwa hapana
Shida za ubongo huwa Ni endelevu pambano mpka pambano.I saw the fight.
Haionekani ngumi nzito zilizofanya hiyo damage ktk ubongo.
Labda alikuwa mgonjwa kabla.
Hata huo mchezo nao kuna siku unaweza kuua mtu. Maana maneno yanayotumika hapo, huwa baadhi yanakera kweli kweli.Ngoja niendelee kukomaa na mchezo wa draft maana huku mtaji maneno
Duh apumzike kwa Amani.