Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670066282515.png


Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo.

Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la Bunge uligundua kuwa Ramaphosa alifanya utovu wa nidhamu kwenye sakata la kuficha mamilioni ya dola katika shamba lake binafsi la wanyama.

South Africa's African National Congress will meet on Sunday, it said on Saturday, to continue a meeting it halted midway on Friday to discuss the future of President Cyril Ramaphosa who has been suspected of misconduct.

An enquiry by an independent parliamentary panel found that Ramaphosa might have committed misconduct when investigations revealed that he kept millions of dollars in cash at his private game farm.

The president has denied any wrongdoing.

African National Congress (ANC) party on Friday postponed a meeting to discuss the fate of President Cyril Ramaphosa, accused of concealing a crime in a new anti-corruption report released this week.

Members of the party's highest decision-making body, the National Executive Committee (NEC) including former President Thabo Mbeki had gathered in the afternoon, but the meeting was soon adjourned.

Party Treasurer and acting Secretary-General Paul Mashatile told reporters they would first submit the panel report to the ANC's national working committee, with the NEC to hold another meeting by Tuesday.

An independent panel led by former Chief Justice Sandile Ngcobo released a report that found President Ramaphosa guilty of not reporting a $4 million theft at his private farm in the Limpopo province in 2020.

The panel was set up in September after former intelligence chief Arthur Fraser filed a criminal complaint against Ramaphosa in June, accusing him of money laundering and covering up the theft.

Its findings were handed over to parliament speaker Nosiviwe Mapisa-Nqakula on Wednesday night.

Opposition politicians and opponents within the ANC have been calling for Ramaphosa to resign and the country to hold an early election.

On Thursday, Ramaphosa cancelled multiple engagements, including an appearance before the National Council of Provinces, the parliament's upper house, where he was scheduled to answer questions.

Ramaphosa also skipped Friday's National Executive Committee (NEC) meeting in Johannesburg that would have discussed his fate as he was in Cape Town consulting on the issue.

The president has denied any wrongdoing.

"I have never stolen taxpayers' money. I want to reaffirm that I was not involved in any criminal conduct," said Ramaphosa, who is seeking reelection as ANC leader later this month.

His spokesman said the president would "step aside" if he was charged for the alleged criminal cover-up.

Dirk Kotze, a political scientist at the University of South Africa, told Anadolu Agency on Thursday that parliament would decide on Tuesday "whether the motion to impeach the president should go ahead or not."

"I think the ANC, which has the majority in parliament, will vote against it," he said, adding that Ramaphosa would have a "good chance" of being reelected as the party's leader if this happens.
 
Wenzetu wanataasisi na vyama vilivyo very strong kuweza kufanya uchunguzi, kutoa allegations na hata kumuwajibisha rais aliyoko madarakani. Kwetu sasa...mama weee, katiba mpya muhimu sana.
 
Nafasi ya Rais Africa ya kusini haina miguu ya kusimamia. Imekuwa ikifa kifo cha asili(natural death).
 
Wenzetu wanataasisi na vyama vilivyo very strong kuweza kufanya uchunguzi, kutoa allegations na hata kumuwajibisha rais aliyoko madarakani. Kwetu sasa...mama weee, katiba mpya muhimu sana.
Nini kinashindikana huku kwetu? Hivi Rais wa South Africa, si kiongozi wa chama kama ilivyo huku kwetu?
 
Ahamie Tanzania agombee urais, huku hatuna hayo mavitu dhidi ya rais.
 
Huo ndio umuhimu wa vyama vinavyojitambua.Tofauti na Tanzania ambako vitu vingi vimeharibiwa na hangaya lakini wapambe wake wanamdanganya kuwa anaupiga mwingi
 
Nafasi ya Rais Africa ya kusini haina miguu ya kusimamia. Imekuwa ikifa kifo cha asili(natural death).
Kwa sababu hapigiwi Kura na wananchi siku ya uchaguzi Mkuu kama nchini Tungekinya, anateuliwa na Chama cha Siasa, hapo Leo wajumbe watahongwa mpaka basi figisu za Zuma zinamtoa Ramaphosa madarakani.
 
Nini kinashindikana huku kwetu? Hivi Rais wa South Africa, si kiongozi wa chama kama ilivyo huku kwetu?
Mkuu jibu unalifahamu vizuri tu. Tatizo ni MFUMO ambao CCM wameutengeneza tangia kitambo na si kama wananchi bado hatujajua tatizo ni nini, tunajua haswa na tumeamua kuishi katika mfumo huo huku tukiugulia maumivu makali yanayosababishwa na huo mfumo bila kuchukua hatua yoyote ile wakati uwezo tunao.
 
Bongo wahuni wanawaita wahuni kutoka Nje wanakuja kukopa kwa kutumia Ardhi yetu harafu hakuna kinachofanyika wanatokea wengine wanasitisha Mkataba wale wahuni wa mwanzo wanaungana na wahuni wengine kufungua kesi nje kwa jinsi ilivyo watashinda kesi tuu baadae wale wahuni wa pili wanasuka mpango wa kuitoa ndege kafara ili ikakamatwe ili walipwe pesa zao ambazo hilo dili halijachukua zaidi ya miaka kumi washakula Mpunga wao harafu huku mtaani utawakuta TRA wakimata watu walionunua chaji cha simu bila risiti...aisee tunapigwa sana sijui yule Mkulima wa SA nae lini wahuni watamstua ili waendelee kutupiga...
 
Back
Top Bottom