pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Umenoa Bashite, wamekufa wakenya 50,000 kufikia sasa.Siku nyingine uliza wenzako kabla ya kubisha report yangu ,utajua kwanini huwa wananyamaza kimya nikitoa data hawadhubutu kupinga sasa shika hii KENYA HADI JUZI WAMEKUFA 249 JANA NA LEO TAYARI WAMEKUFA WENGINE 29= 278 JUMLA SERIKALI YENU INAFICHA VIFO