Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Status
Not open for further replies.
Hizi dini zinatuchanganya akili kabisa
Kivipi? Hivi hujui dhana ya sabotage?

Watu wenye nia mbaya wanaweza kumwandaa na kumpandikiza mtu wao kwa lengo la kuwachafua na kufanikisha ajenda zao za kishetani.

Wengi wanaoonekana kuwa advocates wa masuala kinzani kwenye taasisi zao huwa wako kwenye payrolls za maadui.

I'm very surprised that you're surprised.

Waumini wenye nia njema, linapokuja suala la kupinga uchafu kama huu lazima tusimame pamoja licha ya tofauti za dini zetu.

If Muslims are against homosexuality, Christians and all other well-wishers ought to stand with them.
 
Maimam wa LGBT hapa bongo wako kibao tena Zanzibari ndio ahatar


USSR
 
Impact ya Trump inaanza kuonekana dunia nzima sasa...
 
Lazima ni majihadist.

Hata yule mchoma Quran wa Sweden walimpiga risasi mwezi uliopita na wakakimbia.

Walivyo waoga na wapumbavu, wanampigania allah wao, wanaua watu lakini wao hawataki kufa, wanaogopa nini kufa?

Walivyomuua yule mchoma Quran wa Sweden, kesho yake ndio Quran zikachomwa zaidi.
Usiulazimishe uislam kukumbatia ushoga kama ulivyo ukristo. Pambaneni na nabii tito.
 
So sad, the hypocrisy of This world, pathetic 😑😑
I cosign with everything you have said. Nobody under God/Allah has the right to judge, because we are all sinners within our ways.
 
Alizaliwa Cape Town mwezi Juni 1967 na alikulia katika familia ya Kiislamu ya jadi ya washika dini. Alisomea masomo ya Kiislamu nchini Pakistan lakini alipotangaza kuwa yeye ni mpenzi wa jinsia moja mwaka 1996, alipoteza nafasi yake kama imamu.
Haya mambo walianza zamani🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom