Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Status
Not open for further replies.
Huwezi kumuhusisha individually na dini moja kwa moja acheni uwendawazimu.
Lakini yalianzia huko huko, hata East afrika yameota mizizi kule zanzibar, Tanga na Mombasa

Au nasema uongo ndugu Faiza Foxy, Malaria, Ritz, The Boss
 
Lakini yalianzia huko huko, hata East afrika yameota mizizi kule zanzibar, Tanga na Mombasa

Au nasema uongo ndugu Faiza Foxy, Malaria, Ritz, The Boss
Mkuu hata kama, kuhusisha tabia kwa kujumuisha dini/kabila fulani sio sawa. Kwani hakuna muslim ambao hawashiriki hayo mapenzi ya jinsia moja? Wao unawaweka kundi lipi?
 
Kwahiyo we ubafurahia kusikia imam ama padri choko!?
Unaweza kuwa mpinzani wa imani lakini si lazima uunge mkono kila jambo, sijui waliomuua ni kwa sababu zipi, lakini mie naona ni sawa tu haswa kama ni ishu ya kujitia imam tena wa mashoga.
Kwani akiwa choko mimi inanihusu nini? Mtu mzima awe padri, shehe, omamu, akofu ili mradi mwenyewe amemuaa kuwapa wanaume wengine makalio yake wayachezee mimi inanihusu nini?
 
Lazima ni majihadist.

Hata yule mchoma Quran wa Sweden walimpiga risasi mwezi uliopita na wakakimbia.

Walivyo waoga na wapumbavu, wanampigania allah wao, wanaua wambonatu lakini wao hawataki kufa, wanaogopa nini kufa wakati mabikra 72 wako wanawasubiri huko kwa allah?

Walivyomuua yule mchoma Quran wa Sweden, kesho yake ndio Quran zikachomwa zaidi.
Unaumia kutokea wapi?
Huku msikitini hakunaga masikhara kama huko kwa Pope anayebadilisha maneno kadiri anavyotaka yeye.
Ukileta ujinga unawahishwa unapostahiki
 
Hizi dini zinatuchanganya akili kabisa
Hapana usikubali kuchanganyikiwa na akili kwa sababu ya dini, kwani katika dini halali imebainishwa na haramu imebainishwa. Sasa ukienda kinyume na taratibu zilizowekwa kwanza unajichanganya mwenyewe halafu unawachanganya wengine kinachofuatia ndiyo survival of the fitteset...
 
Huwezi kumuhusisha individually na dini moja kwa moja acheni uwendawazimu.
Uzuri wa dini yenu huwa hamkubali kabisa kuna waumini waliopotoka. Sasa hapo ulitaka wripoti imamu wa msikiti wa wasabato au?
 
Mungu hana akili kama zenu.

Uislamu upo kimwili sana na sio kiroho.

Kwahiyo mnaona hao waliompiga chuma wataenda peponi sio.

Endeleeni kujiendea kwenye njia yenye giza.
 
wewe ndo huna akili, mngekua na akili msingedanganywa na Mfalme Zumaridi aliesema anamfufua Michael Jackson na nyie mmekaaa tu , au yule wa Arusha aliesema anasubiri kwenda Airport kumpokea Yesu na Range Rover , mtu anajiita nabii, mtume halafu anakusanya sadaka za kondooo
Lakini wewe mwenye akili ukaamini ujinga wa safari ya Miraj!
Yaani mtu anaamka asubuhi anakwambia alienda mbinguni akaonana na Musa na wewe ukaamini!
 
Uzuri wa dini yenu huwa hamkubali kabisa kuna waumini waliopotoka. Sasa hapo ulitaka wripoti imamu wa msikiti wa wasabato au?
Mkuu kwenye dini yako hakuna watu wa tabia fulani ambayo haikubaliki au hata hao washiriki mapenzi ya jinsia moja? Je ni sawa mimi kusema dini fulani ni gay/ lesb?
 
Hicho chama cha LGBT ni wapuuzi sana, wameweza kumuwini Pope akakubali ushoga kanisani, huko US na Ulaya kuna wachungaji wao wenyewe ni mashoga na wanafungisha ndoa za mashoga.

Sasa kwa akili zao waka plan kuhakikisha na huu upuuzi wao unakubalika na kwa waislamu kwa hivyo wakampanga mpuuzi mwenzao wakampa mpunga wa kutosha aanzishe msikiti kisha ajiite imam wa mashoga.... Mfyuuuuu

Waislamu ni namba nyengine chezea kila kitu lakini usichezee dini yao, popote pale duniani.

Kama ni kweli hii habari basi rest in hell
 
Mungu hana akili kama zenu.

Uislamu upo kimwili sana na sio kiroho.

Kwahiyo mnaona hao waliompiga chuma wataenda peponi sio.

Endeleeni kujiendea kwenye njia yenye giza.
Wapo wanaozaliwa wakiwa hivyo ,wapo wanaotumia uhusika ila kueneza tu..Kama Qur an huelewi usisambaze chuki za kuchana ni chukizo kwa wahusika ,sasa huyo ni shoga hajulikani ili kuwaje tatizo analazimisha ana interviews nyingi tu anapotosha watu ..😅😅Hapo tatizo linapotokea.
 
Sema unaweza kukuta waliomfunza ushoga ni mashekhe wake wakubwa maana Zanzibar ushoga ni balaa na kuna uhusuiano ushoga na uislamu likewise kwa wale wasiooa etc
 
Sijui
Mungu hana akili kama zenu.

Uislamu upo kimwili sana na sio kiroho.

Kwahiyo mnaona hao waliompiga chuma wataenda peponi sio.

Endeleeni kujiendea kwenye njia yenye giza.
Dhana yenu ya imani nina hakika haipo sahihi mtu huwezi kuwa na imani kamili endapo unafanya matendo yahovyo, unasema imani rohoni while unavaa nguo nusu uchi na unaenda kanisani.
 
Sijui

Dhana yenu ya imani nina hakika haipo sahihi mtu huwezi kuwa na imani kamili endapo unafanya matendo yahovyo, unasema imani rohoni while unavaa nguo nusu uchi na unaenda kanisani.
Wanajidanganya , wazungu wanatumia wanazuoni kupenyeza agenda zao ili kupoteza uhalisia wa jambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom