Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Lakini yalianzia huko huko, hata East afrika yameota mizizi kule zanzibar, Tanga na MombasaHuwezi kumuhusisha individually na dini moja kwa moja acheni uwendawazimu.
Kala chuma sasa,mnasemaje?I cosign with everything you have said. Nobody under God/Allah has the right to judge, because we are all sinners within our ways.
Mkuu hata kama, kuhusisha tabia kwa kujumuisha dini/kabila fulani sio sawa. Kwani hakuna muslim ambao hawashiriki hayo mapenzi ya jinsia moja? Wao unawaweka kundi lipi?Lakini yalianzia huko huko, hata East afrika yameota mizizi kule zanzibar, Tanga na Mombasa
Au nasema uongo ndugu Faiza Foxy, Malaria, Ritz, The Boss
Kwani akiwa choko mimi inanihusu nini? Mtu mzima awe padri, shehe, omamu, akofu ili mradi mwenyewe amemuaa kuwapa wanaume wengine makalio yake wayachezee mimi inanihusu nini?Kwahiyo we ubafurahia kusikia imam ama padri choko!?
Unaweza kuwa mpinzani wa imani lakini si lazima uunge mkono kila jambo, sijui waliomuua ni kwa sababu zipi, lakini mie naona ni sawa tu haswa kama ni ishu ya kujitia imam tena wa mashoga.
Unaumia kutokea wapi?Lazima ni majihadist.
Hata yule mchoma Quran wa Sweden walimpiga risasi mwezi uliopita na wakakimbia.
Walivyo waoga na wapumbavu, wanampigania allah wao, wanaua wambonatu lakini wao hawataki kufa, wanaogopa nini kufa wakati mabikra 72 wako wanawasubiri huko kwa allah?
Walivyomuua yule mchoma Quran wa Sweden, kesho yake ndio Quran zikachomwa zaidi.
Hapana usikubali kuchanganyikiwa na akili kwa sababu ya dini, kwani katika dini halali imebainishwa na haramu imebainishwa. Sasa ukienda kinyume na taratibu zilizowekwa kwanza unajichanganya mwenyewe halafu unawachanganya wengine kinachofuatia ndiyo survival of the fitteset...Hizi dini zinatuchanganya akili kabisa
Uzuri wa dini yenu huwa hamkubali kabisa kuna waumini waliopotoka. Sasa hapo ulitaka wripoti imamu wa msikiti wa wasabato au?Huwezi kumuhusisha individually na dini moja kwa moja acheni uwendawazimu.
Hawana utani yani na dini Yao kudadeki...Ktk hili huwa nawakubali sana waislam
Kama wewe mkweli Tutajie mmojaMaimam wa LGBT hapa bongo wako kibao tena Zanzibari ndio ahatar
USSR
Lakini wewe mwenye akili ukaamini ujinga wa safari ya Miraj!wewe ndo huna akili, mngekua na akili msingedanganywa na Mfalme Zumaridi aliesema anamfufua Michael Jackson na nyie mmekaaa tu , au yule wa Arusha aliesema anasubiri kwenda Airport kumpokea Yesu na Range Rover , mtu anajiita nabii, mtume halafu anakusanya sadaka za kondooo
Mkuu kwenye dini yako hakuna watu wa tabia fulani ambayo haikubaliki au hata hao washiriki mapenzi ya jinsia moja? Je ni sawa mimi kusema dini fulani ni gay/ lesb?Uzuri wa dini yenu huwa hamkubali kabisa kuna waumini waliopotoka. Sasa hapo ulitaka wripoti imamu wa msikiti wa wasabato au?
Wapo wanaozaliwa wakiwa hivyo ,wapo wanaotumia uhusika ila kueneza tu..Kama Qur an huelewi usisambaze chuki za kuchana ni chukizo kwa wahusika ,sasa huyo ni shoga hajulikani ili kuwaje tatizo analazimisha ana interviews nyingi tu anapotosha watu ..😅😅Hapo tatizo linapotokea.Mungu hana akili kama zenu.
Uislamu upo kimwili sana na sio kiroho.
Kwahiyo mnaona hao waliompiga chuma wataenda peponi sio.
Endeleeni kujiendea kwenye njia yenye giza.
Dhana yenu ya imani nina hakika haipo sahihi mtu huwezi kuwa na imani kamili endapo unafanya matendo yahovyo, unasema imani rohoni while unavaa nguo nusu uchi na unaenda kanisani.Mungu hana akili kama zenu.
Uislamu upo kimwili sana na sio kiroho.
Kwahiyo mnaona hao waliompiga chuma wataenda peponi sio.
Endeleeni kujiendea kwenye njia yenye giza.
Wanajidanganya , wazungu wanatumia wanazuoni kupenyeza agenda zao ili kupoteza uhalisia wa jamboSijui
Dhana yenu ya imani nina hakika haipo sahihi mtu huwezi kuwa na imani kamili endapo unafanya matendo yahovyo, unasema imani rohoni while unavaa nguo nusu uchi na unaenda kanisani.