Afrika Kusini: Imamu wa kwaza Duniani kutamka hadharani kujihusisha na ushoga auliwa kwa kupigwa risasi katika shambulio la kupangwa

Status
Not open for further replies.
Napenda dini ya waislamu hawana mzaha au utani na Imani ya dini ya kiislamu.

Leo tarehe 17/2/2025 Mtu wakwanza kutaangaza kua gay Imamu Muhsin Hendrick mwenye umri wa miaka 57 kauliwa kwa kupingwa lisasi moja kichwani na kufa papo hapo, huyu anaejita Imamu alianzisha mskiti huko cape Town na kuandika free to LGBTQ.

Waislamu wali mshi aache kudhalilisha dini yao kwasbabu ushoga ni haramu katika dini yao ila jama alikata na kuendelea na tabia zake ila mwishwo wake umefika leo.



 
Huyu jama ndo imamu wa mskiti wa kwanza kutanganza kwamba yeye ni gay kinyume na mafunsisho ya dini ya kiislamu mjahidina wamejitolea na kummaliza leo, ebu nikae pembeni nione watakao kuja kumtetea kama kweli wana dini.
 
Huyu jama ndo imamu wa mskiti wa kwanza kutanganza kwamba yeye ni gay kinyume na mafunsisho ya dini ya kiislamu mjahidina wamejitolea na kummaliza leo, ebu nikae pembeni nione watakao kuja kumtetea kama kweli wana dini.
Mafundisho ya dini ya kikristo yanaruhusu ushoga?
 
Polisi nchini Afrika kusini imesema Imamu aliyejitangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Muhsin Hendricks, amepigwa risasi na kuuwawa na watu wasiojulikana. Imami huyo aliye na umri wa miaka 57 kutoka mjini Cape Town, alikuwa ndani ya gari na mwenzake kabla ya gari jengine ghafla kuegeshwa mbele yao na kuwazuwia.

Baadae watu hao waliokuwa wamefunika nyuso zao walimmiminia risasi na kumuua papo hapo. Sababu ya kuuwawa kwake hadi sasa hazijajulikana na polisi wanaendelea na uchunguzi.

Muhsin Hendricks aliyejitangaza mwaka 1996 kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, alikuwa akisimamia Msikiti wa Al-Ghurbaah, ulionuiwa kuwa eneo salama kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na jamii nyengine za kiislamu zilizotengwa.

Tangu wakati huo, kiongozi huyo wa kidini amekuwa akipokea vitisho dhidi yake, lakini akasema kwamba ni bora kuwa muwazi juu ya jinsia yake kuliko kuogopa kufa.

 
Hapa ndipo napoupendea Uislamu, Gusa imani yao uone cha mtemakuni, Tatizo huwa wanavuka kufanya walichofanya kwa dini nyingine kisa tu sio waislam

Uje wakristo sasa, kila kitu kinaruhusiwa, Papa anapitisha vitu vya kipuuzi anachekewa tu,
 
Kwenye mafundisho ya Ukristo yanasema watu kama hao walinganiwe ili wamrejee muumba

Kumuua kwanza ni kumpoteza dhambini bila kutubu, pia uliyeua una dhambi ya kuua

Imagine yule Aggrey angeuwawa je angempikeaje Yesu kristo?

Tunakataa ushoga na ulawiti ,lakini kuchukua jukumu la kuwaua ni tatizo jingine ,

Huyo jamaa kauliwa lakini tayari alishakuwa na MSIKITI na una waumini mashaoga wengi, angelinganiwa angesaidia kuwaokoa na wengine
 
Hao waliomuua hawajafuata sheria ya kiislam
 
Jamaa alifungisha ndoa kwa kiislamu ikiwa ni ndoa ya mashoga , kumbuka hakuna uhusiano wa dini maana hao jamaa wako kweny mashaka ya mauaji .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…