Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza roboti walimu aina ya IRIS, ikiwa na lengo la muda mrefu la kupeleka teknolojia hiyo katika shule 23,000 nchini humo.
Mbunifu wa IRIS, Thando Gumede, amesema lengo ni hatimaye kuhakikisha kila shule nchini Afrika Kusini inakuwa na roboti moja ya IRIS, hatua inayoweza kupanua upatikanaji wa elimu inayosaidiwa na teknolojia.
Roboti hao wenye umbo la binadamu wanaendelezwa ili kusaidia sekta ya elimu kupitia matumizi ya akili bandia (AI), ujifunzaji shirikishi na teknolojia za kidijitali.