LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS.
The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society.
It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG)
They have a very powerful Litany that is dedicated to Lil ' KIM.
The litany is known as " THE HOLY LITANY OF GODDESS LIL'KIM".
I have uploaded a video about the church.
FOR SWAHILI SPEAKERS.
Nchini Afrika ya kusini kuna kanisa ambalo wanamuabudu mwanamuziki na RAPPER wa kike kutoka nchini Marekani aitwae LIL'KIM.
Waumini wa kanisa hilo wana amini kuwa Rapper Lil'Kim ni Mungu.
Kanisa hilo linajulikana kama " HEKALU TAKATIFU LA MUNGU LIL'KIM" NA LINAJIENDESHA KATIKA MFUMO WA TAASISI YA SIRI ( Secret society).
Kwenye kanisa hilo wana sala ( litania) ambayo inasaliwa kwa Mungu wao ( Lil' Kim)
Litania hiyo inajulikana kama " LITANIA TAKATIFU YA MUNGU LIL'KIM" .
Nimeambatanisha na video kuhusu kanisa hilo .
Source: Rafiki Mtanzania aishie South Africa ambae ni member wa kanisa hilo.
Kama mtataka nitaweka na link kuhusu kanisa hilo.