Afrika Kusini kuuziwa chanjo ya COVID-19 kwa bei ghali mara mbili ya nchi za Ulaya

Afrika Kusini kuuziwa chanjo ya COVID-19 kwa bei ghali mara mbili ya nchi za Ulaya

Mtoa mada kazungumzia currency mbili tofauti Dollar and Euros. Sijui ukifanya conversion itakuja mara mbili na nusu?
Currency mbili lakini ame equate kwa shilingi , utaona 5000 unaingia Mara mbili kwenye 12000, hoja inasema Mara mbili ya Bei ya ulaya , mwenye Mada yupo sahihi
 
Back
Top Bottom