Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kampuni ya Watanzania basi limetoka Jo'burg Jana kama sikosei, linakuja Dar.
Kwanza kabisa, utafika baada ya siku 7, pili jiandae kuharisha maana utakutana na misosi tofauti tofauti kwa kua tamaduni za nchi zinatofautiana..tatu jiandae kupata corona ama malaria sugu, nne jiandae kupata UTI sugu maana mademu wa malawi wana uti sugu hata uvae kondom.
Sema Malawi air ipo cheap sana mkuu pana muda Tiket ya kwenda na kurudi ni usd 300 kuliko kupanda Bus kulala huko Tunduma,Lusaka au Harare kwa gharama utakazotumia hazitatofautiana na ndege ambayo unatoka daslm saa moja mkipitia Lilongwe saa tano upo Jozi...
Huu ndio ushauri sasaSafari ya Bus kutokea Daslm
Sema Malawi air ipo cheap sana mkuu pana muda Tiket ya kwenda na kurudi ni usd 300 kuliko kupanda Bus kulala huko Tunduma,Lusaka au Harare kwa gharama utakazotumia hazitatofautiana na ndege ambayo unatoka daslm saa moja mkipitia Lilongwe saa tano upo Jozi...
Ingawaje anaweza akapitia Harare pale sio gharama na nimeona wana Bus nzuri kwenda Johannesburg...kusafiri kwa Bus na hii ya Shuka ugonge Passport sijui wengine wakiamua wanakuja na mambo ya Covid ili mradi mtoe pesa ni tatizo ila ukitoka na Bus SA moja kwa moja Zambia sio mbaya kuliko kwenda mambo ni mengi kuliko kurudi..