Afrika Kusini kwa basi

Afrika Kusini kwa basi

Beige

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2022
Posts
234
Reaction score
515
Habarini wana JF

Naomba kujua safari ya kwenda Afrika Kusini kwa basi gharama zake kwa aliyesafiri hivi Karibuni pamoja na mabasi yanayokwenda huko.

Asanteni
 
Kwanza kabisa, utafika baada ya siku 7, pili jiandae kuharisha maana utakutana na misosi tofauti tofauti kwa kua tamaduni za nchi zinatofautiana..tatu jiandae kupata corona ama malaria sugu, nne jiandae kupata UTI sugu maana mademu wa malawi wana uti sugu hata uvae kondom.
 
Acha mboyoyo wewe
 
Safari ya Bus kutokea Daslm

Ngoja aje mzoefu wa huko akupe 1,2,3
Isanga family
Msaidie mwana hapo

Ova
Sema Malawi air ipo cheap sana mkuu pana muda Tiket ya kwenda na kurudi ni usd 300 kuliko kupanda Bus kulala huko Tunduma,Lusaka au Harare kwa gharama utakazotumia hazitatofautiana na ndege ambayo unatoka daslm saa moja mkipitia Lilongwe saa tano upo Jozi...
Ingawaje anaweza akapitia Harare pale sio gharama na nimeona wana Bus nzuri kwenda Johannesburg...kusafiri kwa Bus na hii ya Shuka ugonge Passport sijui wengine wakiamua wanakuja na mambo ya Covid ili mradi mtoe pesa ni tatizo ila ukitoka na Bus SA moja kwa moja Zambia sio mbaya kuliko kwenda mambo ni mengi kuliko kurudi..
 
Huu ndio ushauri sasa
 
Sauzi kupigwa chuma Kwa kuporwa simu kitu cha kawaida sana
 
Back
Top Bottom