Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11)

Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki iliyopita baada ya majirani zake kumbana awaoneshe mtoto wake alipo, ndipo mwanamke huyo aliweka wazi na kuonesha alipomzika mtoto huyo.

shallow-grave.jpg

Picha: Sehemu ambayo mtoto alizikwa
zaidi soma:
A woman in Limpopo, South Africa will on Friday be arraigned in court over the murder of her 11-year-old son.
Nthabiseng Mokwana allegedly fed her child with porridge that was laced with pieces of glass which led to his death.

”Mokwana was arrested last week after residents cornered her until she revealed the whereabouts of her 11-year-old son Katlego, who had disappeared,” SABC reported.

The 28-year-old woman had reportedly buried the body of Katlego Mokwana in a shallow grave after he died.
Times Live newspaper said the decomposing body was discovered days after she claimed that he had gone to visit his father in Pretoria.

She also has another child, a 5-year-old girl, who has since been taken by the father after the woman was arrested.
Mokwana was laid to rest at Maseven Village outside Jane Furse in Limpopo on October 27.


Source: Citizen Digital


 
Maisha magumu, au anamkomoa baba wa mtoto? Wacha akanyee debe.
 
Amemuua kikatili Sana si bora angempa sumu ile Kali? Sipati picha jinsi mtoto aliteseka kwa vioo
 
Dah, huu ni ukatili mkubwa, huyo mtt ni wakee au wa mambi?, mn mama wa kambo siku hz dah ni balaa...
 
Back
Top Bottom