Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini.
Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi Agosti walipopigwa risasi.
Miili yao ilipewa nguruwe ili kuila katika jaribio la kuondoa ushahidi.
Mahakama sasa itaamua kama itatoa dhamana kwa mmiliki wa shamba hilo Zachariah Johannes Olivier, 60, na wafanyakazi wake Adrian de Wet, 19, na William Musora, 50, kabla ya kesi yao ya mauaji kuanza.