johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata kwenye hako kadegree kako serikali imewekeza bwashee!Huu ni uongo niambie ni sekta gani ambayo serikali imewekeza ili kufika hilo lengo, ili ufikie maendeleo lazima uwekeze katika watu kwenye Elimu, Kilimo na Afya haya yote mmeyatupa kapuni mmewekeza katika miundombinu tu na kuacha 85% hawajui hata kesho yao.
Tuwe wazalendo ukweli daima Tanzania ni yetu wote
Kwa madeni ninayodai serikali mkopo wa chuo walionipa nimeshalipa tu degree twangu hatuna deni.Hata kwenye hako kadegree kako serikali imewekeza bwashee!
Tusidanganyane bado tupo mbali mnoHata kwenye hako kadegree kako serikali imewekeza bwashee!
“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu ujao wa 2020 naikubali, ila kama ni ya Kweli ninamkatalia JPM.
Kwa sura zinazoshika urais hapa nchini miaka 40 ni ndoto kuwafikia wazunguNi bumbuazi tu ndio watao kubali hili.. sijui kama ni kweli kipengere hicho cha sisi kwa kama ulaya kama kweli kimo kwenye Ilani hiyo ya ccm kama Mh. JPM alivyosema.. kama kimo, hii ni massive oversight kwa watalaam walio andika Ilani hiyo...kuwa kama ulaya haiwezekani ndani ya next 5-10 years- haipo. Labda miaka 25-40 kuanzia sasa.
Kilichopo sasa ni kupigizana kelele tu kwenye maneno ya siasa, ni muafaka sasa kauli kama hizi ziwekewe tafsiri, vinginevyo ni mis representation of facts and omission should be punished by law for misleading voters .
Mbona nyie mnasema mtashinda urais na wala hatuwapingi“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu ujao wa 2020 naikubali, ila kama ni ya Kweli ninamkatalia JPM.
kuwa na maono sio dhambi,sababu inachochea kufanya kazi kwa bidii.“Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM
East Africa Television - News
Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu ujao wa 2020 naikubali, ila kama ni ya Kweli ninamkatalia JPM.
Maono yawe realistickuwa na maono sio dhambi,sababu inachochea kufanya kazi kwa bidii.