Ni bumbuazi tu ndio watao kubali hili.. sijui kama ni kweli kipengere hicho cha sisi kwa kama ulaya kama kweli kimo kwenye Ilani hiyo ya ccm kama Mh. JPM alivyosema.. kama kimo, hii ni massive oversight kwa watalaam walio andika Ilani hiyo...kuwa kama ulaya haiwezekani ndani ya next 5-10 years- haipo. Labda miaka 25-40 kuanzia sasa.
Kilichopo sasa ni kupigizana kelele tu kwenye maneno ya siasa, ni muafaka sasa kauli kama hizi ziwekewe tafsiri, vinginevyo ni mis representation of facts and omission should be punished by law for misleading voters .