thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Wewe Huna uelewa wowote zaidi ya unaziNina uelewa wa kutosha, najua kipi kinatangazwa kwa usahihi na kipi kinatangazwa kwa kupakana matope. Ila kushabikia rais wetu kupewa tuzo na taasisi ambayo na Nkurunzinza kapewa pia huu ni ujuha.
Huo mfano wa suala la Gadaffi na Libya hebu liache maana najua viwango vyako vya uelewa, utaishia kujichanga tu. Hebu tubaki kwenye haya ya kwetu unayoyafahamu wangalau tutaelewana hata kama hatutakubaliana.
Kwani wameshindwa kuweka hata telephone conversation hapa?Wakfu wa Nelson Mandela umebainisha kuwa haukuandaa, kusimamia wala kutoa tuzo za “Nelson Mandela”, ambazo zimeripotiwa katika vyombo mbalimbali ya habari Tanzania, Kenya na Burundi Disemba 27, 2017. Habari hiyo pia haikutajwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini. Swahili Times on Twitter
Source:Swahili Times Twitter
Ushauri wangu:Vyombo vya habari nchini viwe vinajiridhisha kama habari ina ukweli wasikimbilie kuwa wa kwanza kuripoti,kuna media kubwa tunazoziamini nazo ziliingia ktk mkumbo huo wa kutoa fake news.
Yaaaani!!!mmmmmmmmmm
Mnalishwa uongo nyinyi misukule ya Lumumba,,sisi tunaojitambua usitujumlishe katika list yenu ya mazuzu mnaosifia kila kitu cha Mungu wenu wa tochaHii nchi inaonekana tunalishwa uongo mwingi sana.
Tena Kazi Kubwa kweli kweli!! Wahusika KWANINI walikaa kimya baada ya hizi taarifa kutoka?!!😕.Daaaah kweli kazi ipo!!