Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Nina uelewa wa kutosha, najua kipi kinatangazwa kwa usahihi na kipi kinatangazwa kwa kupakana matope. Ila kushabikia rais wetu kupewa tuzo na taasisi ambayo na Nkurunzinza kapewa pia huu ni ujuha.

Huo mfano wa suala la Gadaffi na Libya hebu liache maana najua viwango vyako vya uelewa, utaishia kujichanga tu. Hebu tubaki kwenye haya ya kwetu unayoyafahamu wangalau tutaelewana hata kama hatutakubaliana.
Wewe Huna uelewa wowote zaidi ya unazi
 
Magamba wana tatizo la msingi sio bure. Wanatutia sana aibu hawa jamaa.
 
36f7e412c86fb2cb7e86a7da10c3b50e.jpg
 
Kakobe piga hao kunguru hadi waite mmaaaaa!!!
 
Wakfu wa Nelson Mandela umebainisha kuwa haukuandaa, kusimamia wala kutoa tuzo za “Nelson Mandela”, ambazo zimeripotiwa katika vyombo mbalimbali ya habari Tanzania, Kenya na Burundi Disemba 27, 2017. Habari hiyo pia haikutajwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini. Swahili Times on Twitter

Source:Swahili Times Twitter

Ushauri wangu:Vyombo vya habari nchini viwe vinajiridhisha kama habari ina ukweli wasikimbilie kuwa wa kwanza kuripoti,kuna media kubwa tunazoziamini nazo ziliingia ktk mkumbo huo wa kutoa fake news.
Kwani wameshindwa kuweka hata telephone conversation hapa?
 
Hata mimi nilishangaa sana tuzo ya amani usawa huu watu wanapotekwa,8 vyombo vya hanari kivamiwa na kufungiwa, watu kupigwa risasi, demokrasia kuminywa watu wanakuwa na amani gani?! I couldn't believe labda ingekuwa definition ya catalyst
 
hongera ila watekaji wanakupunguzia sifa kiasi,zama zile watu wenye elimu zao walitekwa na kupelekwa jeshini kupiga kazi ngumu miaka hata kumi,akirudi kama mzee anapewa ustaafu.ataandika nn tena magazetini na taifa kalitumikia.
 
Jana na juzi kitengo cha Propaganda cha CCM kilizua taarifa kuwa Rais wetu wa Tanzania amepewa tuzo ya amani ya Nelson Mandela. Mitandaoni na baadhi ya vyombo vya habari vikalitaja tukio hilo kwa sifa na mapambio wakati wewe Polepole na watumishi wako wa propaganda mkijua sio kweli na ni kumfedhehesha Rais kama mlivyofanya kwenye Tuzo ya FORBES na eti Trump wa US kamsifia kwa barua Rais.
Mjue mnapomtaja Rais ni kuwa mnaizungumzia Tanzania na aibu inakuwa ya nchi kwetu sote. Next time mkitaka kutangaziana vitu fake basi Polepole tunakuasa uandike hivi
"MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI JOHN MAGUFULI KATUNUKIWA TUZO YA so and so" ili hiyo aibu ya kujulikana ni uongo ibaki huko kwenye chama chenu mlicho zoea kudanganya na haitaihusu nchi.
 
Mkuu, mbona hata hiyo twitter ya swahili times haina uthibitisho wowote kutoka kwa Mandela foundation? Tutajuaje kwa uhakika labda nao wamejitungia tu fake news?!
 
TBC HAWA NDO WALISEMA TRUMP KAMPONGEZA MAGUFULI.


MIMI NILITAKA KUSHANGAA, HAO WATOA TUZO WAPUUZI KIAS GANI HADI WAMPE TUZO NKURUNZIZA et al
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom