Hawana tofauti na wale wa hadithi za kale walio muona Mfalme yuko uchi wao wakamsifia kuwa joho lake linapendeza mpaka mtoto mdogo alipo sema mfalme yuko uchi.Kazi ya tbc km kaiwaida yao wazee wakuandaa fake news kwajili ya kumsifu mfalme mwenye enz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mafinyofinyo [emoji23][emoji28][emoji23]
kwakweli mkuu, naona Mandela kadhalilishwa'Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage)'.
Huyu jamaa kweli jasiri maana iwe kwa damu au machozi hayupo tayari kuachia Ikulu,anastahili tuzo bila shaka.
Udhalilishaji wa mandela.Hata huko Kenya wanabeza Uhuru kupewa tuzo, wanadai kwa Magufuli wamepatia
Nadhani mpo baadhi ya watu ambao ni wazalendo ndio mnaolishwa uongo na upuuzi kila siku.Hii nchi inaonekana tunalishwa uongo mwingi sana.
Ndio habari wanazopenda kuzisikia. Na siyo kuwakosowa, wewe unageuka msaliti na uliyekosa uzalendo.Tena Kazi Kubwa kweli kweli!! Wahusika KWANINI walikaa kimya baada ya hizi taarifa kutoka?!!😕.
Uuuuuwi, Admin naombeni kile ki Emoji cha kuziba uso pleeeease!😉Hawana tofauti na wale wa hadithi za kale walio muona Mfalme yuko uchi wao wakamsifia kuwa joho lake linapendeza mpaka mtoto mdogo alipo sema mfalme yuko uchi.
Pesa walizochukuwa ni bora wazirudishe mapema maana Ngosha kwa huu mkenge waliomuingiza halafu ukute na pesa wameshachota Ngosha anaweza kuuwa mtu.Sasa tuwaone wale Lumumba buku 7 club ambao walishaandaa na sherehe za kumponngeza Mkulu kwa kupewa Zawadi hiyo muhimu......
Hivi sasa wameaibika!
Mwisho wa ubaya aibu......
PumbaJana na juzi kitengo cha Propaganda cha CCM kilizua taarifa kuwa Rais wetu wa Tanzania amepewa tuzo ya amani ya Nelson Mandela. Mitandaoni na baadhi ya vyombo vya habari vikalitaja tukio hilo kwa sifa na mapambio wakati wewe Polepole na watumishi wako wa propaganda mkijua sio kweli na ni kumfedhehesha Rais kama mlivyofanya kwenye Tuzo ya FORBES na eti Trump wa US kamsifia kwa barua Rais.
Mjue mnapomtaja Rais ni kuwa mnaizungumzia Tanzania na aibu inakuwa ya nchi kwetu sote. Next time mkitaka kutangaziana vitu fake basi Polepole tunakuasa uandike hivi
"MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI JOHN MAGUFULI KATUNUKIWA TUZO YA so and so" ili hiyo aibu ya kujulikana ni uongo ibaki huko kwenye chama chenu mlicho zoea kudanganya na haitaihusu nchi.