Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Kazi ya tbc km kaiwaida yao wazee wakuandaa fake news kwajili ya kumsifu mfalme mwenye enz
Hawana tofauti na wale wa hadithi za kale walio muona Mfalme yuko uchi wao wakamsifia kuwa joho lake linapendeza mpaka mtoto mdogo alipo sema mfalme yuko uchi.
 
Pale unapogundua all these were RUBISH! Mlitaka kufunika ya Kakobe? Stupidity at its BEST Level
 
'Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage)'.

Huyu jamaa kweli jasiri maana iwe kwa damu au machozi hayupo tayari kuachia Ikulu,anastahili tuzo bila shaka.
kwakweli mkuu, naona Mandela kadhalilishwa
 
Hii nchi inaonekana tunalishwa uongo mwingi sana.
Nadhani mpo baadhi ya watu ambao ni wazalendo ndio mnaolishwa uongo na upuuzi kila siku.

Lakini kwa sisi ambao ni wasaliti na hatuna uzalendo hata kidogo kwa nchi yetu huwa hatudanganyiki ng'oooooo.
 
Sasa tuwaone wale Lumumba buku 7 club ambao walishaandaa na sherehe za kumponngeza Mkulu kwa kupewa Zawadi hiyo muhimu......

Hivi sasa wameaibika!

Mwisho wa ubaya aibu......
 
Nahic wameangalia africa masharik nzima wakakosa rais wa kumpa
.
.
.
Ikumbukwe hizi tuzo pia zinanunulika
 
Tukio lile lilipikwa ili kuzima hotuba za kina kina Kakobe kwani ukweli mtupu na mchungu na ilikuwa kama lile tukio la Nyalandu kujitoa CCM na hotuba iliyojaa ukweli mchungu kwa mungu watu wa FISIEMU,wwakahofia impact yake kwa jamii na hata kufungua minyororo ya wabunge wengine FISIEMU,wakaja na plan ya bajeti ya kununua wapinzani ili aonekane anakubalika!!

Lissu alipopigwa risasi na kukimbizwa Nairobi na habari ikawa ni Lissu tu basi kama kawa kwa propaganda zetu tukaitishiwa mambo ya Makinikia LIVE Ikulu na kuambiwa wamekubali kulipa dollar 300mln ilihali boss wa ACACCIA akisema suala hilo ni hadi likajadiliwe na bodi!!

Watu wakaripuka na kekundu!!!
 
Tena Kazi Kubwa kweli kweli!! Wahusika KWANINI walikaa kimya baada ya hizi taarifa kutoka?!!😕.
Ndio habari wanazopenda kuzisikia. Na siyo kuwakosowa, wewe unageuka msaliti na uliyekosa uzalendo.

Kuna watu hapa mjini sasa hivi wanaendesha maisha yao kwa gia ya kuhubiri uzalendo. Humo wapo Steve Nyerere na wasanii wake uchwara na wachezaji mpira wa zamani walioferi na kufuria kwenye maisha.
 
Chakubanga hajui yule chupaki aliyekuwa msemaji jangwani anaipigia jaramba hiyo nafasi.
 
Hawana tofauti na wale wa hadithi za kale walio muona Mfalme yuko uchi wao wakamsifia kuwa joho lake linapendeza mpaka mtoto mdogo alipo sema mfalme yuko uchi.
Uuuuuwi, Admin naombeni kile ki Emoji cha kuziba uso pleeeease!😉
 
Sasa tuwaone wale Lumumba buku 7 club ambao walishaandaa na sherehe za kumponngeza Mkulu kwa kupewa Zawadi hiyo muhimu......

Hivi sasa wameaibika!

Mwisho wa ubaya aibu......
Pesa walizochukuwa ni bora wazirudishe mapema maana Ngosha kwa huu mkenge waliomuingiza halafu ukute na pesa wameshachota Ngosha anaweza kuuwa mtu.

Sasa majibu ya takwimu mtakuwa mmeyapata ni kwa nini mkuu anatumia nguvu kubwa kumtisha Zitto Kabwe ambaye ana takwimu sahihi tofauti na zile takwimu fake za serikali ambazo ni za kumpumbaza mkuu vile apendavyo.
 
Jana na juzi kitengo cha Propaganda cha CCM kilizua taarifa kuwa Rais wetu wa Tanzania amepewa tuzo ya amani ya Nelson Mandela. Mitandaoni na baadhi ya vyombo vya habari vikalitaja tukio hilo kwa sifa na mapambio wakati wewe Polepole na watumishi wako wa propaganda mkijua sio kweli na ni kumfedhehesha Rais kama mlivyofanya kwenye Tuzo ya FORBES na eti Trump wa US kamsifia kwa barua Rais.
Mjue mnapomtaja Rais ni kuwa mnaizungumzia Tanzania na aibu inakuwa ya nchi kwetu sote. Next time mkitaka kutangaziana vitu fake basi Polepole tunakuasa uandike hivi
"MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI JOHN MAGUFULI KATUNUKIWA TUZO YA so and so" ili hiyo aibu ya kujulikana ni uongo ibaki huko kwenye chama chenu mlicho zoea kudanganya na haitaihusu nchi.
Pumba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom