Afrika kusini si nchi salama sana kwa wageni

Hivi huko jeshi la polisi imara,je intelligence yao ikoje? Wanashindwaje kuangamiza hivyo vikundi vya kuhuni kimyakimya?
Katika nchi ambazo crime rate ni kubwa hapa duniani south Africa ni miongoni mwa nchi hizo.Inaonekana polisi wamezidiwa.Mauaji ni sehemu ya maisha yao.Nakumbuka kuna dogo nilisoma nae o level alikufa kwa kisu cha tumbo south
 
One of shit hole countries, kuna mmoja kanyanyua pumprenture spanner kama anagonga nyoka, alaf kule nyuma anaonekana KUMBU kavaa mzula.
 
Habari ya 2015 unaleta mwaka huu 2021 ili iweje sasa!???
 
One of shit hole countries, kuna mmoja kanyanyua pumprenture spanner kama anagonga nyoka, alaf kule nyuma anaonekana KUMBU kavaa mzula.
Haha na yule jamaa yake khumbu wa huku bongo atakuwa maeneo hayohayo
 
Wa south Africa hawapigi kisu cha moyo mkuu.

Unapigwa kisu cha chini ya shingo upande wa mabega,,

Ni lazima ufe papo hapo..
Hao jamaa ni master kwa visu..

Na ukipigwa sehem hiyo huponi
Hata muelekeo wa hicho kisu kinaenda chini ya shingo kwenye bega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…