CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Ushaachiwa eh!!?Naona shanga ulizovaa kiunoni zinakuletea jambo
Unakuja kukileta na huku?
Walelekee haohao mi siyo mteja....situmiagi mamaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaachiwa eh!!?Naona shanga ulizovaa kiunoni zinakuletea jambo
Hizi south zina shida aisee south nyingine ni south america, kuna nchi zina miji inatisha sanaKatika nchi ambazo crime rate ni kubwa hapa duniani south Africa ni miongoni mwa nchi hizo.Inaonekana polisi wamezidiwa.Mauaji ni sehemu ya maisha yao.Nakumbuka kuna dogo nilisoma nae o level alikufa kwa kisu cha tumbo south
Wa South watu wabaya sana,Wana roho mbaya ajabu.View attachment 1706807
View attachment 1706818
Hapa anaonekana mmozambiki akichomwa kisu.Huyu jamaa alifariki dunia baada ya kuchomwa kisu cha moyo
Hata muelekeo wa hicho kisu kinaenda chini ya shingo kwenye bega
Hadi hasira yaani, hakuna hata kushtuka wanaona ni sawaNa watu wanaangalia Tu.
😂 😂 😂 Ata wewe umemwona Khumbu kumbe?One of shit hole countries, kuna mmoja kanyanyua pumprenture spanner kama anagonga nyoka, alaf kule nyuma anaonekana KUMBU kavaa mzula.
Sijui wana nini hawa watu,mtu anaweza akawa anaibiwa hapo watu hawana time.Mtu ajaribu kufanya hivi huku atakiona cha motoHadi hasira yaani, hakuna hata kushtuka wanaona ni sawa
Halafu huwa wanajiona wao ndio bora kuliko waafrika wengine, wakati maendeleo ambayo south afrika wanayo leo yametokana na kaburuWasauzi wanawachukia Sana hata Ile Chanel Yao ya mpira inayoonesha ligi Yao uwa siangalii.hao sio watu ni wanyama
Kuridhisha nafsi kwa muda.Ukiua mtu utapata faida gani?
Katika nchi ambazo crime rate ni kubwa hapa duniani south Africa ni miongoni mwa nchi hizo.Inaonekana polisi wamezidiwa.Mauaji ni sehemu ya maisha yao.Nakumbuka kuna dogo nilisoma nae o level alikufa kwa kisu cha tumbo south
Mkuu upo south sioNa si salama kwa memmber wa JF wenye tabia za kijinga kuishi huko.
Maisha ya huku kifo si break wala gearbox kusema leo RPC sijui nani kaitisha media kutangaza.!
Maisha ya huku yamegawanyika kwenye kuishi kimpangilio kuna choka mbaya yani aka wakula majalalani,kuna wakaida wanao ishi kwenye vibanda kama kenya pale,kuna wanaoishi kwenye magorofa au majumbo yaliyo achwa au sehemu zilizokwisha achwa na watumiaji aka mapagara au majumba mabovu,kuna wale wakati,wakati kidogo na wakubwa na kuendelea mpaka kuna maeneo uwezi kukuta maskini hana fika.
Kuna miji na sehemu zipo salama na zengine si salama hata kidogo hata ukikodisha uber au taxify inagoma kwenda na tutoa tahadhari.
Silaha huku ni kama kununua bizaa ya kawaida.
Maisha ya huku kama unaweza kuishi mbezi beach au masaki basi ndio fomula ya huku hiwe kijijini,mjini,uswahilini ndivo wanavoishi no muingiliano wakijinga jinga.
Kila unavozidi kupata kipato ndo unatakiwa kuishi sehemu nzuri ili kukwepa matatizo kama wezi,vibaka,majambazi kwa asilimia angalau ndogo.
Kampuni za ulinzi binafsi ninyingi mpaka ukikutana nazo unaweza kusema movi maana wana silahaa za kila aina na wanamagali mazuri ya kupambana.sio huku benki mlinzi binafsi hana gobole.
Ni mengi sana