Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

Afrika Kusini: Upinzani wataka uchunguzi wa Nyumba za Mawaziri kutokana na gharama kubwa za Maboresho

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa

Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022, ilitumia karibu USD Milioni 5 sawa na Tsh. Bilioni 11.8 kwa ajili ya matengenezo ya nyumba za watumishi wa umma, ambapo inakadiriwa kuwa taa moja iligharimu karibu USD 1,000 katika moja ya nyumba za Mawaziri jijini Pretoria

Pia takriban USD 70,000 zilitumika kukarabati majiko huku USD Milioni 2.5 kwa ajili ya majenereta katika nyumba za Mawaziri, wakati ambao Raia wengi wanapambana na changamoto za kukatika kwa umeme mara kwa mara

.........

The main opposition party in South Africa, the Democratic Alliance, is calling for an investigation by the anti-corruption watchdog into what it claims are inflated contracts for the maintenance of ministers' extravagant homes. The controversy arose after the ANC government disclosed that it had spent nearly $5 million between 2019 and 2022 on the upkeep of properties occupied by public servants.

This development puts additional pressure on President Cyril Ramaphosa, who was elected with a promise to tackle corruption following a term marked by political and financial scandals under his predecessor, Jacob Zuma.

The opposition party, with a touch of satire, quipped that they can finally answer the question of how much money it takes for ANC cadres to replace a lightbulb, referring to an alleged bill of nearly $1,000 for lightbulbs at one ministerial mansion in Pretoria.

The Democratic Alliance further alleges brazen corruption, citing examples such as a $70,000 kitchen renovation and $2.5 million spent on generators for ministers' homes, while ordinary citizens grapple with South Africa's severe power cuts.

Source: BBC
 
Afrika tunahitaji sheria kali dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za uma. Tuweke sheria ya kifo na kifungo cha maisha. Halafu apatikane kiongozi mtata copy ya magufuri.

Mtaona hapa.
 
Back
Top Bottom