ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Apr 30, 2024 #1 Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya. Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu mabega hata kana hujui kucheza hii haikushindi. Vibe na style hii huiwezi basi we ni kilaza.
Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya. Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu mabega hata kana hujui kucheza hii haikushindi. Vibe na style hii huiwezi basi we ni kilaza.
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Apr 30, 2024 #2 Huku umekamata sheesha yako, glass ya Jager umeiacha hapo mezani karibu Depal ujana maji ya moto kwa kweli
Huku umekamata sheesha yako, glass ya Jager umeiacha hapo mezani karibu Depal ujana maji ya moto kwa kweli
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Apr 30, 2024 #3 mshamba_hachekwi said: Huku umekamata sheesha yako, glass ya Jager umeiacha hapo mezani karibu Depal ujana maji ya moto kwa kweli Click to expand... 😂 dah! Kwahiyo Ndege anajifunza kucheza Tshwala? Ujana maji ya motoo
mshamba_hachekwi said: Huku umekamata sheesha yako, glass ya Jager umeiacha hapo mezani karibu Depal ujana maji ya moto kwa kweli Click to expand... 😂 dah! Kwahiyo Ndege anajifunza kucheza Tshwala? Ujana maji ya motoo