MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Wanatuchora tu!Nasikia na hapa kwetu wamejazana kwenye vitengo nyeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatuchora tu!Nasikia na hapa kwetu wamejazana kwenye vitengo nyeti.
Tena masaa tu jiji la kigali linabaki historiaKwa akili yako watapambana misitu ya kongo rwanda atafunuliwa kigali!
Wanacheza hao!Tena masaa tu jiji la kigali linabaki historia
😅😅😅Uzuri wa JF kwenye kila mada kuna watu wamebobea
Kuna ma General wa jeshi humu...
Kuna wataalamu wa mambo ya anga humu....
Kuna wasemaji wa waasi wa M23 humu......
Kwa kifupi JF imekamilika
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂