Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Habari Wakuu!
Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37.
Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa.
Masango alijiunga University of Zulu land akiwa na miaka 16 kwaajili ya kusoma Physics. Aliendelea kusoma katika hiko chuo hadi akatunukiwa degree in Physics baadaye akaenda University of Western Cape na akatunikiwa shahada ya uzamili (Master's degree) in Nuclear Physics.
Pia Masango amawahi kutunikwa tuzo ya International Women in Science Award kutokana na mchango wake mkubwa katika uwakilishi wa wanawake katika sayansi. Pia anamchango mkubwa wa kuwainua mabinti wa kiafrika wanaoipenda sayansi kupitia taasisi aliyoiunda inayowapa motisha mabinti kusoma sayansi.
Kwa maelezo zaidi tembelea huu ukurasa.
www.bbc.com
Yangu ni hayo tu wapendwa.
Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37.
Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa.
Pia Masango amawahi kutunikwa tuzo ya International Women in Science Award kutokana na mchango wake mkubwa katika uwakilishi wa wanawake katika sayansi. Pia anamchango mkubwa wa kuwainua mabinti wa kiafrika wanaoipenda sayansi kupitia taasisi aliyoiunda inayowapa motisha mabinti kusoma sayansi.
Kwa maelezo zaidi tembelea huu ukurasa.
Senamile Masango: South Africa mourns pioneering female nuclear scientist
Senamile Masango, dubbed by some as the "queen of science", set out to inspire a younger generation.
Yangu ni hayo tu wapendwa.