Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja.

===============

Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more than one husband while polygyny is a form of polygamy in which a man has more than one wife.

In South Africa, only polygyny is currently recognised where polygamous men can have many wives. In a push to promote equality, the Department of Home Affairs recently published a landmark policy document calling for polyandry to be legally recognised as a form of marriage.

The department's Green Paper on Marriages states that the current marriage act is discriminatory and does not promote equality. The Green Paper also puts forward proposals to recognise Hindu, Jewish, Muslim and Rastafarian marriages.

Elizabeth Retief, a member of PolyamorySA, has welcomed the proposal as a move in the right direction. According to Retief, the department’s proposals are a step closer towards the acceptance of non-monogamy in South Africa.

However, she explains that the laws are still focused on polyandry and polygyny, which are both forms of polygamous marriages. Polygamous marriages are primarily based on traditional value systems, cultural beliefs, heteronormativity, and static gender roles, she argues.

Retief says greater advocacy is still needed for polyamorous relationships, which are more fluid, progressive, open, and accepting of different sexualities and gender identities.
 
Hatari ya magonjwa ya kuambukizana lakini mtoto akizaliwa babake atakuwa ni nani??

Dini sahihi kwa maisha ya mwanadamu ni uislmau., ndio dini pekee iliyokuja muongozo sahihi kwenye jambo hili.,
 
Hakuna jipya duniani hata akiolewa na wanaume Sita atakuwa kama yule kahaba wa Samaria aliyekutana na Yesu kule kisimani.

Yule kahaba alimzimikia Yesu but Yesu hakuwa anasaka mke Ila alimsihi huyo kahaba amtaje mume wake, yule kahaba akajibu fasta 'sina mume'

Ila kiukweli huyo mdada alikuwa na wanaume 6 na alitamani amfanye Yesu wa 7 but Yesu alimtolea nje

Hakuna jipya huko South Africa
 
Correction kidogo
Yule kahaba alikuwa na watano na sio sita
 
Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja.

===============

Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more than one husband while polygyny is a form of polygamy in which a man has more than one wife.

In South Africa, only polygyny is currently recognised where polygamous men can have many wives. In a push to promote equality, the Department of Home Affairs recently published a landmark policy document calling for polyandry to be legally recognised as a form of marriage.

The department's Green Paper on Marriages states that the current marriage act is discriminatory and does not promote equality. The Green Paper also puts forward proposals to recognise Hindu, Jewish, Muslim and Rastafarian marriages.

Elizabeth Retief, a member of PolyamorySA, has welcomed the proposal as a move in the right direction. According to Retief, the department’s proposals are a step closer towards the acceptance of non-monogamy in South Africa.

However, she explains that the laws are still focused on polyandry and polygyny, which are both forms of polygamous marriages. Polygamous marriages are primarily based on traditional value systems, cultural beliefs, heteronormativity, and static gender roles, she argues.

Retief says greater advocacy is still needed for polyamorous relationships, which are more fluid, progressive, open, and accepting of different sexualities and gender identities.
Nawasubiri waipitishe ili wathibitishe kwa vitendo kuwa Mwenyeezi Mungu ametutangulia mbali kwa akili na maarifa kwa hizo fujo na mauwaji yatakayosababishwa na aina ya mfumo wa ndoa wanayopendekeza
 
Hakuna jipya duniani hata akiolewa na wanaume Sita atakuwa kama yule kahaba wa Samaria aliyekutana na Yesu kule kisimani.

Yule kahaba alimzimikia Yesu but Yesu hakuwa anasaka mke Ila alimsihi huyo kahaba amtaje mume wake, yule kahaba akajibu fasta 'sina mume'

Ila kiukweli huyo mdada alikuwa na wanaume 6 na alitamani amfanye Yesu wa 7 but Yesu alimtolea nje

Hakuna jipya huko South Africa

Correction kidogo
Yule kahaba alikuwa na watano na sio sita
... ni kwanini mmemwita kahaba wakati Yesu mwenyewe hakumwita hivyo?
 
Back
Top Bottom