Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

Bwana Mungu kakaa sehemu katulia ila kila siku tunamchokonoa chokonoa kujaribu kama ni mkali au yupo yupo yaani.

aya mi ngoja nikae kimya...
 
Bongo hii haiwez kutokea,maana wanaume wa bongo tuna wivu usio na mfano...bado wengi tu bila bikra hawaoi [emoji1787].asa ndo kuolewa na wawil iwezekane?
 
Mwanamke yeyote anayemiliki wanaume zaidi ya mmoja huyo ni kahaba, hata kama Yesu hakumuita kahaba lakini alijua kila kitu kuhusu huyo mwanamke kwamba alikuwa na wanaume Sita

Hujaelewa tu?
... soma vizuri hio mistari " ...Yule mwanamke akajibu, โ€œSina mume.โ€ Yesu akamwambia, โ€œUmesema kweli kuwa huna mume. Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanamume unayeishi naye sasa si mume wako!โ€ huo mstari hauelezi kinagaubaga kwamba yule mwanamke alimiliki wanaume zaidi ya mmoja kwa pamoja (at a time) ili awe na sifa ya "kahaba".

Kuna uwezekano pia kwamba aliishi na mwanaume wa kwanza (mume halali) pengine akafariki au wakapeana talaka; akaishi na wa pili (mume halali); vivyo hivyo hadi wa tano (only one at a time). Uhakika kwamba ni yupi hakuwa mume halali ni yule wa sita ambapo Yesu anatueleza kwa uwazi tofauti na wale watano wa mwanzo ambao hatuelezwi walikuwa mume halali au la!

Pointi nayotaka kueleza hapa ni tusikimbilie kuhukumu vitu tusivyo na uhakika navyo!
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutia

Dudus moja kwenye mashimo manne tofauti na kutia madudus manne kwenye shimo moja
Huu ni ujinga wa kiwango cha rami
Kama hawaelewi tu?
 
Wenzetu kimewatokea nn ,kunakoelekea hakuna MTU wakuoa au kuolewa nikutiana kwakwenda mbele nakuzaa hovyo...tujiandae kuaza kuitwa majina kama nyota bridge ,pori ,giza nk

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Atahudumiaje nyumba mbili? Au mwanamke ndio anawaoa hao wanaume?
Juzi Kati hapa huko India nimeona mwanamke mmoja ameolewa na wanaume saba tena wote ndugu! Ana mtoto mmoja ambmaye hajui ni wa mme yupi!
 
Back
Top Bottom