#COVID19 Afrika Kusini yatangaza kusitisha chanjo ya Corona

#COVID19 Afrika Kusini yatangaza kusitisha chanjo ya Corona

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Habari wana bodi.

Nchi ya Afrika Kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.

Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika Kusini.

Chanzo: TBC habari.

My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ) imekula kwao.
 
Habari wana bodi.

Nchi ya Afrika kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.

Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika kusini.
Source: TBC habari.

My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ)
Hii taarifa imfikie mama Samia maana bado kidogo aingizwe mkenge.
 
Back
Top Bottom