View attachment 1752330
Sijui kama Mungu atakuja kutupatia mtu kama huyu tena. Dunia ilimtamani, maadui walimwelewa, alipoawavua ngua na kulinda taifa lake, wakamsagia meno. Wakaona namna ya kuingia Tanzania ni kutumia mtaji unaotumiwa na waovu siku zote, ambao Baba yetu aliupiga vita kwa nguvu zote, ujinga, wakautumia mlango huu na kuanza kumdhoofisha baba katika kila eneo ili awe sawa na watu wengine.
Yaliyokuwa Mungu anayajua na iko siku na hiyo siku haiko mbali, yatabainika.
Sasa wale waliokuwa wanapiga kelele, chanjo chanjo, magu hataki chanjo, tuwe kama wengine, "YAONENI HAYA WENYEWE".
MUNGU SIMAMA NA FAMILIA YA MAGUFULI, PAMOJA NA WATU WALIOMUUNGA MKONO KWA DHATI. LITENGE TAIFA LETU MBALI NA WATU WANAFIKI WASIOKUWA NA UELEWA WALA UCHUNGU KWA TAIFA".