Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwani Putin ni faraa😸??? Hajawahi kuwa fara kiasi hichoMbona mwenye dawa mwenyewe Putin kakataa kuchoma hiyo Sputnik?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Putin ni faraa😸??? Hajawahi kuwa fara kiasi hichoMbona mwenye dawa mwenyewe Putin kakataa kuchoma hiyo Sputnik?
Yes,corona and Bagamoyo port!! Ngosha alikuwa sahihiHapa kwenye Corona tumfuate Magufuli
Magu alikuwa na akili sanaSijutii kuwa mfuasi wa magufuli kwenye Corona..
Sidhnai kama kuna chanjo inatolewa bure. Mkuu uhai hauna spare. Kama unaona ghali piga kitu cha MadagascarKwahiyo za bure ndio walitaka wapewe akina nani kama msaada vile?
Tumkumbuke kwa lipi mkuu?Kuna siasa nyingi sana kwenye hii COVID 19
#tutamkumbuka Magufuli
Mbona mwenye dawa mwenyewe, Putin, kakataa kuchoma hiyo Sputnik?
Si hizo za kugandisha damu ndio Covax wamepewa wasambaze au?Sidhnai kama kuna chanjo inatolewa bure. Mkuu uhai hauna spare. Kama unaona ghali piga kitu cha Madagascar
Covax unalipia mzee baba. Hamna bureSi hizo za kugandisha damu ndio Covax wamepewa wasambaze au?
Bytheway, toka JPM afariki sijasikia tena Covid
Hakuna ambayo haina shidaModena naona ndiyo ambayo haina shida lakini ni ghali mno
Wamesikitishwa na uamuzi wa kusitisha kupiga chanjo, maana yake wao hawatapata mpunga tena.Marekani anasikitika yeye kama nani? Ana uchungu sana na SA au ni nini?
Magufuli ataendelea kuheshimika, hata kama yupo kaburini!
Sasa kwanini tulazimishiane biashara, si tulishasema hatuna pesa au? Au hukumsikia yule mkuu wa CDC Afrika kwamba wameshanunua kwa msaada wa fedha za wahisani na watasambaza bure kwa nchi zenye kuhitaji?Covax unalipia mzee baba. Hamna bure
Si walisema nchi masikini zisizoweza kununua watasambaziwa kwa mpango wa Covax 😂😂Wamsambazie nani?
Serikali yetu ikifikia hatuwa ya kutaka Watanzania waanze kudungwa sindano za chanjo dhidi ya KOVID salama yetu itatokana na kukubali kuchanjwa chanjo zinazo alishwa kutoka Urusi, hizo ni salama kabisa hazina issues za kutisha tofauti kabisa na chanjo zinazo zalishwa nchi za magharibi zenye matatizo ambazo ni highly unpredictable hivi sasa kuna tatizo la kufanya baadhi ya watu damu zao kuganda, je, nani ajuaye long term after effect inaweza kufanya immune systems iwe primed ku-over react na vitu gani vya kawaida mfano: vumbi, pollen grains, peanut butter,common cold and what have you!! Swali ni kwa nini mataifa ya magharibi yanazalisha chanjo kwa njia za kijinetic ambayo haijawahi kujaribiwa na kujuwa madhara yake yote na jinsi ya kuya-contain - Big Pharma Companies za nagharibi wamegeuza binadamu wenzao guinea pigs wanacho jali ni kupiga hela ndefu, basi!!Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika Kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika Kusini.
Chanzo: TBC habari.
My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ) imekula kwao.
Hizo za Urusi zimefanyiwa majaribio kwa muda gani?Serikali yetu ikifikia hatuwa ya kutaka Watanzania waanze kudungwa sindano za chanjo dhidi ya KOVID salama yetu itatokana na kukubali kuchanjwa chanjo zinazo alishwa kutoka Urusi, hizo ni salama kabisa hazina issues za kutisha tofauti kabisa na chanjo zinazo zalishwa nchi za magharibi zenye matatizo ambazo ni highly unpredictable hivi sasa kuna tatizo la kufanya baadhi ya watu damu zao kuganda, je, nani ajuaye long term after effect inaweza kufanya immune systems iwe primed ku-over react na vitu gani vya kawaida mfano: vumbi, pollen grains, peanut butter,common cold and what have you!! Swali ni kwa nini mataifa ya magharibi yanazalisha chanjo kwa njia za kijinetic ambayo haijawahi kujaribiwa na kujuwa madhara yake yote na jinsi ya kuya-contain - Big Pharma Companies za nagharibi wamegeuza binadamu wenzao guinea pigs wanacho jali ni kupiga hela ndefu, basi!!