Hivi ikiganda wanaded au bado wanakuwa hai?
Pfizer zeneca Oxford siyo chanjo ni sumu.
Asante Boss, japo umetumia Kingleza wakati mimi ni housegeliThe life is in the blood. Can you imagine a pilot telling the passengers on board in the sky: Ladies & Gentlement, we're struggling with a little problem with this Boeing 787. All the engines are dumb dead!
Modena naon andiyo ambayo haina shida lakini ni ghali mno
Sinovac majanga ila Sputnik iko poaPia Zipo Sinovac na Sputnik.
Wewe !!! damu ikiganda kwenye mishipa ndani ya ubongo hiyo ndiyo Mwendozake, labda igande sehemu zingine za mwili unaweza kupata madhara yasiyosababisha kifo.Hivi ikiganda wanaded au bado wanakuwa hai?
Asante Boss, japo umetumia Kingleza wakati mimi ni housegeli
Haaaaa Haaaaa 😂, Nimeona neno is na neno the, ndo nkajua ni kingleza bosiUmejuaje kama katumia kingleza
Hii taarifa imfikie mama Samia maana bado kidogo aingizwe mkenge.Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika kusini.
Source: TBC habari.
My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ)