FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kajaribu chanjo ya Johnson & Johnson upate majibu live bila chenga, sio kuhadithiwa, kama hutaki kuijaribu, mwambie Magufuli ‘Shikamoo’, hata kama ameshafariki, mwamkie hivyo hivyo!!Hivi ikiganda wanaded au bado wanakuwa hai?
Kwahiyo za bure ndio walitaka wapewe akina nani kama msaada vile?Modena naona ndiyo ambayo haina shida lakini ni ghali mno
Ndio watamuelewa vizuri Nabii Magufuli!Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika kusini.
Source: TBC habari.
My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ) imekula kwao.
Mbona mwenye dawa mwenyewe, Putin, kakataa kuchoma hiyo Sputnik?Sinovac majanga ila Sputnik iko poa
Asante Boss, japo umetumia Kingleza wakati mimi ni housegeli
"Mtatishwa sana ndugu zangu waTanzania, lakini simameni imara"
"Simameni imara, chanjo hazifai"
"Kama wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingekuwa imeshaletwa"
"Hata chanjo ya kifua kikuu ingekuwa kifua kimeshaondoka"
"Hata chanjo ya MALARIA ingekuwa imeshapatikana"
"Hata chanjo ya KANSA ingekuwa imeshapatikana"
"Ni lazima waTanzania tuwe waangalifu, kwa mambo ya kuletewa letewa"
"Msije mkafikiria mnapendwa sana"
Hii taarifa imfikie mama Samia maana bado kidogo aingizwe mkenge.
Kama namsikia hayati akisema kuhusu chanjo.
Mkuu piga vizuri hesabu zako $12.7 kwa pipa x 216,000 mapipa kwa siku x 30 days x 12 month ndiyo ishiie kuwa 76.32 Bn??????BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA
Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya Diplomasia ya Uchumi ya Hayati JPM. Maana iliua kabisa ndoto za Kenya kupitishia bomba hilo kwenda Bandari yake ya Lamu.
Mradi huu ni alama ya urithi itakayo ihakikishia Tanzania kiasi cha $12.7 kwa kila pipa litakalo safirishwa katika bomba hilo kutokea Uganda.
Hivyo kibiashara na kiuchumi, huu ulikuwa ni ushindi wa kimkakati kwa Tanzania wenye uwekezaji wa takribani $3.6bn na zaidi ya asilimia 70 ya bomba litapitia Tanzania hivyo itakuwa imevutia kiasi kikubwa cha uwekezaji kutoka nje kati hizi $3.6bn.
Bomba hili linatarajiwa kupitisha pipa la kwanza mnamo 2025. Na kwa siku yatasafirishwa mapipa 216,000 ya mafuta ghafi. Hii itaihakikishia Tanzania takribani $2.743 mil (Tsh 6.36bn) kwa siku. Hii ni sawa na $32.92mil (Tsh 76.32bn) kwa mwaka kama tozo ya kusafirishia mafuta hayo. Haya ni mapato mapya.
Kuna kama mapipa 6.5bn ambayo yamekwisha thibitishwa huko Uganda katika visima Kingfisher na Tilenga. Hivyo Tanzania itakuwa na uhakika wa kutengeneza mapato mengi zaidi kwa takribani miaka 30 ijayo kutokana na Mkataba uliohitimishwa siku ya Jumapili tarehe 11 Aprili 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan aliposhuhudia utiwaji wa mikataba hiyo ya kimkakati. Kazi inaendelea. Huku Rais Yoweri K. Museveni akisema siku huyo ilikuwa ni siku ya Ushindi wa aina Tatu (Kitiva, Kisiasa na Kiuchumi) kwani Tanzania imekuwa sehemu ya kupigania ukombozi wa Uganda kutoka wa mikono ya Idd Amini pamoja na ukombozi wa bara la Afrika. Hivyo hii pia ni sababu iliyorahisisha uamuzi wa kuifanya Tanzania kuwa njia ya kusafirishia mafuta hayo ili Tanzania nayo ipata kitu kutokana na majotoleo yake katika Ukombozi wa Afrika.
Ndiyo maana ninaamini kuwa hapa JPM aliacha legacy kubwa..na ni ushindi kwa Tanzania katika Diplomasia ya Uchumi katika Afrika Mashariki dhidi ya Taifa lenye Uchumi mkuwa kwa sasa katika Ukanda huu.
Ninaamini pia faida zitakuwa ni nyingi zaidi ya tozo hii ya $12.7 kwa kila pipa litakalosafirishwa kwa siku. BOMBA hili kitakuwa linapashwa joto ili mafuta hayo ghafi nyenye mnato mkubwa (viscocity) yaweze kupita. Ninaamini kwa kuwa na Umeme wa uhakika pia tutapata mapato ya ziada yanayoweza kusaidia kurejesha fedha nyingi zilizowekezwa katika vyanzo vya Umeme hada bwawa la JNHPP-2115MW. Faida nyingine ni Ajira za muda mfupi na muda mrefu zinazofikia elfu kumi (10).
14.04.2021
Jonathan N'handi Mnyela
Tuanzie hapa umesema kwa siku ni Tsh 6.36 bn tufanye litafanya kazi siku tano za weekMkuu piga vizuri hesabu zako $12.7 kwa pipa x 216,000 mapipa kwa siku x 30 days x 12 month ndiyo ishiie kuwa 76.32 Bn??????
Inategemea. Msaada wakwanza kama umepatikana kwa wakati.Hivi ikiganda wanaded au bado wanakuwa hai?
Kuna siasa nyingi sana kwenye hii COVID 19Sinovac majanga ila Sputnik iko poa
Habari wana bodi.
Nchi ya Afrika kusini leo imetangaza kusitisha chanjo ya Corona iliyokuwa ikiendelea nchini humo baada ya matukio ya watu kuganda damu kila wanapochanjwa kuongezeka.
Nchi ya Marekani imesikitishwa sana na uamuzi huo wa nchi ya Afrika kusini.
Source: TBC habari.
My take.
Biashara ya waliokula 10% ili waje wapigie promo chanjo ya corona nchini Tanzania(DJ) imekula kwao.
Hii taarifa imfikie mama Samia maana bado kidogo aingizwe mkenge.
Hizi ndizo akili zilizokuwa zikimshambuli Magufuli?Wee !!! damu ikiganda kwenye mishipa ndani ya ubongo hiyo ndiyo Mwendozake, labda igande sehemu zingine za mwili unaweza kupata madhara yasiyosababisha kifo.
Ni swala la muda tu utasikia jamboModena naona ndiyo ambayo haina shida lakini ni ghali mno
Akili hewa kabisa hizi!Hizi ndizo akili zilizokuwa zikimshambuli Magufuli?
Huyu mzee napata hisia flani kwamba alikuwa assassinated kinamna flani hivi! The death wasn’t naturalView attachment 1752330
Sijui kama Mungu atakuja kutupatia mtu kama huyu tena. Dunia ilimtamani, maadui walimwelewa, alipoawavua ngua na kulinda taifa lake, wakamsagia meno. Wakaona namna ya kuingia Tanzania ni kutumia mtaji unaotumiwa na waovu siku zote, ambao Baba yetu aliupiga vita kwa nguvu zote, ujinga, wakautumia mlango huu na kuanza kumdhoofisha baba katika kila eneo ili awe sawa na watu wengine.
Yaliyokuwa Mungu anayajua na iko siku na hiyo siku haiko mbali, yatabainika.
Sasa wale waliokuwa wanapiga kelele, chanjo chanjo, magu hataki chanjo, tuwe kama wengine, "YAONENI HAYA WENYEWE".
MUNGU SIMAMA NA FAMILIA YA MAGUFULI, PAMOJA NA WATU WALIOMUUNGA MKONO KWA DHATI. LITENGE TAIFA LETU MBALI NA WATU WANAFIKI WASIOKUWA NA UELEWA WALA UCHUNGU KWA TAIFA".