#COVID19 Afrika Kusini yatangaza kusitisha chanjo ya Corona

Mafuta hayo ni ya kuuzwa nje ya nchi.sio kwamba sisi ndio tunanunua.
 
Never mna viburi sana nyie....
mmepewa kiongozi mzuri mmemkataa mmeishia kumkejeli tu na mwishowe mumemuombea kifo.....pambaneni na hali zenu
 
Cheki hili takataka.....halijielewi kabisa
 
Safi sana mkuu
 
Hizo za Urusi zimefanyiwa majaribio kwa muda gani?
Soma kwa umakini nilicho andika - nimesema kwamba mbinu zilizo tumiwa na Warusi kuzalisha chanjo ya KOVID ni mbuni zilizo vumbuliwa na wana sayansi zaidi ya miaka themanini iliyo pita, ndizo mbinu zalizo tumiwa kuzalisha chanjo za ndui, TB, polio nk. Mbinu hizo ndio ziko proven kwamba zinafanya kazi flawlessly ndio maana bado zinatumika kuzalisha chanjo mpaka leo.

Mpaka sasa ni Mataifa 54 Duniani yanayo tumia chanjo ya sputnik V, so far hakuna madhala yoyote ambayo yamekwisha kuwa reported kutokana na matumizi ya chanjo za Urusi.
 
Nakumbuka wakat wa JK kupewa misaada ya vitu hata visivyo na tija ilikuwa part ya maisha yetu, naomba Mungu isije ikajirudia kwa huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila chanjo bila kujali techniques inapaswa kufuata process ya majaribio ili kujua adverse effects na kuona namna ya kurekebisha. Ni utaratibu wa kawaida wa kisayansi na kidaktari. Toka Covid imeingia mpaka kutangazwa kwa hizi chanjo muda ni mfupi mno kufanya hatua zote hizo. So kisayansi hakuna chanjo ambayo iko salama kwa sasa.

Tunaweza kuamua kuchanjwa, haya ni maamuzi ya mtu binafsi ila mpaka sasa kisayansi tuna majaribio ya chanjo na sio chanjo salama. Huu ndio ukweli. Wameamua majaribio yafanyike kwa watu. Hope hizi chanjo sio Carcinogens. Maana tunaweza shuhudia mass deaths huko mbeleni
 
Msomi uchwara
 
Wamesitisha chanjo tena? Waache ujinga Corona itawaua wote, sisi Tanzania tuendelee na Chanjo, tusimpe credit mwenda zake.. tuchomwe wote chanjo ya Astra Zeneca, najua wachache wataganda damu lakini tusiogope USA na ulaya watatulinda.

Kamanda Mbowe, kamanda Lissu na Manyika naomba tutafute kikao, tukae na mama tumshawishi umoja wa kitaifa pamoja na chanjo ya korona ije. Tena ije ile ya Astra Zeneca... Haha hahaa sukuma gang na Mataga mbona watakoma.
 
Huku Tanzania inapendekeza chanjo
Watu wameshakula 10% wanatuuza tu, katika hili la corona nilikuwa upande wa mwendazake..

Hiyo michanjo yao watakuja kuichoma mait yangu labda ila sio na uhai wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…