The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa.
Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya binadamu yanayoendelea Afrika.
Achana hao wanaokupotosha na kukuingiza kwenye mambo ya udaku kama Simba day na mengineyo yanayofanana. Nenda kahangaike na mambo yenye hadhi ya Urais.