The Shah of Tanganyika
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 602
- 1,572
Mgogoro WA mchongoAsuluhishe kwanza mgogoro wa Tanganyika na DP World [emoji706]
ameshindwa kushughulikia swala la dpworld aje aweze kusuluhisha political mayhem in west Africa, kwanza kule watu wanajielewa sio kama nchi zenu huku mashariki na kusini mwa Africa ambao wako tayari kushangilia simba day huku bandari na mali zingine za umma zinaporwa na majiz yenye kuvaa suit ofisi za umma.Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa.
Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya binadamu yanayoendelea Afrika.
Achana hao wanaokupotosha na kukuingiza kwenye mambo ya udaku kama Simba day na mengineyo yanayofanana. Nenda kahangaike na mambo yenye hadhi ya Urais.
kama ameshindwa kusuluhisha mgogoro wa mchongo ataweza migogoro ya coup detat.Mgogoro WA mchongo
Kama kaweza kusuluhisha waliokimbia nchi hadi wamerudi atashindwa kweli kubadili vipengele vitatu tu vya Mkataba ?Asuluhishe kwanza mgogoro wa Tanganyika na DP World [emoji706]
Kwenye hili Hana pakujificha labda akimbie MCHI hata Sasa sijui yuko wapiMgogoro WA mchongo
HiI ndo anazoweza akiongeaga utafikiri zimo kichwa I kumbe anaandikiwa kwenye bandari hachomoki watoto wa njini wamemuingiza jauTunamsubiri kwenye ndondo cup kama mgeni rasmi huku tandale.
Hawa ndiyo vichaa aliosema MagufuliAfrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa.
Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya binadamu yanayoendelea Afrika.
Achana hao wanaokupotosha na kukuingiza kwenye mambo ya udaku kama Simba day na mengineyo yanayofanana. Nenda kahangaike na mambo yenye hadhi ya Urais.