Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
First things first, jibuni swali kisha tutafika kwenye swali lako.
Unapenda sana kuuliza maswali eeh!Ushajibiwa kaka,una lingine?
Bongo mbona wapo graduates kibao! Acha uongo.
Unapenda sana kuuliza maswali eeh!
Hufai kujibiwa kamwe maana yake ushakata kauli kuwa kwako ni takataka.Nimesoma Kenya kuna Actuarial society of Kenya, je kuna actuarial society of Tanzania?
Mwenye kujua anijibu, maana hii takataka ndio nimeisikia leo.
Ipo google Acturial society of TanzaniaNimesoma Kenya kuna Actuarial society of Kenya, je kuna actuarial society of Tanzania?
Mwenye kujua anijibu, maana hii takataka ndio nimeisikia leo.
na huyu je https://tz.linkedin.com/in/abel-nisagurwe-6a1b5911bMnaiga Wakenya, mtachana misamba....
Hivi Watanzania umbumbumbu ni kipaji chenu au mna matatizo ya kiaina, hapa tunaongea kuhusu wataalam wa actuarial science ambao wamesajiliwa na wapo kazini, sio hao mnajisifia eti "pursuing actuarial science or have already undergone some form of actuarial training"
Ndio utambulike kama mwanasayansi kwenye taaluma hii, lazima ufaulu kwenye mitihani ya kimataifa zikiwemo Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
Chartered institute si member of International Actuarial Association? Ficha upumbavu shenzy wewe!To be qualified, an actuarial science graduate has to successfully complete a series of professional papers from bodies that are full members of International Actuarial Association.
The papers include those from Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
Ndio utambulike kama mwanasayansi kwenye taaluma hii, lazima ufaulu kwenye mitihani ya kimataifa zikiwemo Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
Ndio utambulike kama mwanasayansi kwenye taaluma hii, lazima ufaulu kwenye mitihani ya kimataifa zikiwemo Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
Yaani Kenya kwa bidii yetu hii, tutafika tu....
--------------------------------------------------------------------------
AN ACTUARY IS A BUSINESS PROFESSIONAL WHO ANALYSES THE FINANCIAL CONSEQUENCES OF RISK OR AN EXPERT IN RISK MANAGEMENT. FILE PHOTO | NMG
Kenya has seven newly qualified actuaries bringing the total number of the risk professionals in East Africa to 46.
The Actuarial Society of Kenya (Task) on Tuesday said a consistent focus on transforming the actuarial profession in the country is beginning to show positive results, with the number of qualified members expected to increase rapidly.
“The growth is consistent and tremendous. Task has put specific initiatives to ensure the steady growth,” said the society president James Olubayi.
All the qualified actuaries in the East African market are Kenyans.
To be qualified, an actuarial science graduate has to successfully complete a series of professional papers from bodies that are full members of International Actuarial Association.
The papers include those from Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
An actuary is a business professional who analyses the financial consequences of risk or an expert in risk management.
Actuaries use mathematics, statistics and financial theory to measure the probability and risk of future events in healthcare, pensions, insurance, banking and investments.
Mr Olubayi said recent partnership with USaid-backed Financial Services Volunteer Corps (FSVC), Universities of Nairobi and Dar es Salaam to introduce the Actuarial Academy of East Africa (AAEA) will boost the profession more.
East African actuaries hit 46 but all are Kenyan
Bongo mbona wapo graduates kibao! Acha uongo.
,,Emancipate your self from mental slavery... maan uko mweupe sana kichwani samahani lkn huo ndiyo ukweli sijakutusi, kwa hiyo Mjapani aliyesomea finance Mathematics Tokyo University siyo mtaalamu mpka afanye mtihani wa Uingereza? Au unafikiri kwa kuwa colonial master wako ni Muingereza basi Dunia nzima ni Anglophone? Na asiye Anglophone basi ni mjinga?
Allianz is the Worlds largest Insurance Company makao Makuu Munich, Germany unafikiri wanaofanyakazi allianz ni lazima wafanye mtihani wa Uingereza, ndiyo wawe Wataalamu?