Afrika Mashariki ina actuarial scientists 46, ila wote Wakenya

Afrika Mashariki ina actuarial scientists 46, ila wote Wakenya

To be qualified, an actuarial science graduate has to successfully complete a series of professional papers from bodies that are full members of International Actuarial Association.

The papers include those from Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.

Ndio utambulike kama mwanasayansi kwenye taaluma hii, lazima ufaulu kwenye mitihani ya kimataifa zikiwemo Canadian Institute of Actuaries (CIA), British Institute and Faculty of Actuaries (IFoA), Institute of Actuaries of Australia (IAA), American Actuarial Society (AAS) and the Actuarial Society of South Africa.
Kwa muktadha wako ni kuwa Lazima uwe Verified na MUZUNGU,
Poor Mungiki.
 
Kwa muktadha wako ni kuwa Lazima uwe Verified na MUZUNGU,
Poor Mungiki.

Kama sio mzungu hata hicho kisimu unatumia kuingia humu na kutoa ushuzi usingekua nacho. Mzungu ndio kawakuta babu zako porini na kuwapa na kuwachorea mpaka ili mjiite Tanzania la sivyo leo ungekua unaishi na ngendere.
 
Kama sio mzungu hata hicho kisimu unatumia kuingia humu na kutoa ushuzi usingekua nacho. Mzungu ndio kawakuta babu zako porini na kuwapa na kuwachorea mpaka ili mjiite Tanzania la sivyo leo ungekua unaishi na ngendere.
Man, Don't be this coward.
Be a man, at least for once,
Jiamini halafu usijidharau kiasi hicho.
Nimebahatika kusoma human brain anatomy, hakuna any biological difference btn whites and blacks, its only this way of thinking (like yours).
 
Man, Don't be this coward.
Be a man, at least for once,
Jiamini halafu usijidharau kiasi hicho.
Nimebahatika kusoma human brain anatomy, hakuna any biological difference btn whites and blacks, its only this way of thinking (like yours).

Hamna sehemu nimesema kuna tofauti ila nimesema yote haya tumeletewa na huyo mzungu unayemtunishia misuli humu. Hata hiyo actuarial science kaibuni yeye, wewe na elimu yako umeshindwa hata kugundua gesi ulikua unalima mihogo hadi mzungu amekuja na kuonyesha ilipo na akaichimba.

Leo hii bado mnaagiza sindano miaka 50 tangu uhuru. Nimeona wanajeshi wenu wanapasua matofali eti ndio maonyesho ya kijeshi wakati Korea Kaskazini pamoja na vikwazo ameweza kufanya maonyesho ya kweli.

Lakini nimecheka hadi machozi Wabongo wanavyotiririka kejeli kuhusu hilo la upasuaji wa matofari, kuna uzi umeanzishwa.
 
Unawafahamu au huwafahamu hiyo sio shida yangu, nimesema na nimekomaa kwenye msimamo wangu kwamba lazima ufanye mtihani unaoratibiwa na kituo ambacho ni full member of International Actuarial Association. Kufanya mitihani ya kanyamba universities na kupataa digrii haijatosha kuwa qualified. Hilo nitawasisitizia mpaka liwaingie, muache kukurupuka na kusoma kwa makini taarifa zinasema nini.

Hadi muonyeshe ushahidi wa hao mashujaa wenu waliokidhi vigezo, itabaki kuwa stori basi. Mkwangue Google yote, mpige masimu na kuwafuata mpaka kitaa walipo. Msimamo upo pale, mtatukana kwa kuishiwa lakini ndio shindano itakua inawaingia.


Aisee mkenya skia sijapinga umuhimu wa professional bodies. Hoja yangu ni hao wapo Tz.
 
Aisee mkenya skia sijapinga umuhimu wa professional bodies. Hoja yangu ni hao wapo Tz.

Kuna Wakenya wengi pia wenye hizo degrees za actuarial science kama hao Watz lakini ni wale 46 ambao wamekidhi vigezo vya kimataifa vilivyowekwa ili utambulike kama mwanataaluma.
 
Nategemea na wewe uwe mmojawapo

Hapana sipo kwenye hiyo orodha, nawakilisha Kenya na EAC kwenye taaluma tofauti, ila nafurahia kwa maana, binafsi michango yangu mwenyewe kwenye huu ukanda ni ya kutajika na kuigwa na vijana wanaochipuka. Nimefanya yangu ambayo nikiangalia nyuma nilichokifanya, napata fahari.
 
Back
Top Bottom