georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Nimefurahishwa na Waziri Mbarawa
Anasema Wale wamitandaoni sasa waandike!!
Tatizo lako mdomo wako hauna kikomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahishwa na Waziri Mbarawa
Anasema Wale wamitandaoni sasa waandike!!
Wewe ni bangi kwanini usiende kwa SirroNgoja bavicha waje [emoji39] [emoji39] [emoji39]
~Cmb
Motochini sijui kama kichwani uko sawaWashindwe kabisa
wanywe sumu
Ameongea point Than your rubbish SMS hereinama udungwe sindano...kuwa mpole nyang'au.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Umeongea jambo la maaana sana maana wa-Tz wengi wamekalia ushabiki tu bila kuangalia Stima itatoka wapi ila ni kushangilia hata kama ni stories.Hiyo ndio sababu Kenya ilishelve kuweka stima, miaka itakuja ambapo Kenya ina stima yakutosha, hapo itaweka stima kwenye treni!! Nyaya za stima zimefuata SGR Nairobi hadi pwani, lakini hadi tuwe na power enough ndio treni ziletwe za stima
Ethiopia ina stima ya kutosha, hasa ukizingatia serikali ya Ethiopia haijaweka mikakati kuhakikisha stima imeenda kila pahali Ethiopia, Asilimia 50 ya watu hawana stima! Hivyo inayobaki wapeleke kwa treni!!
Kenya mwanzo wanatafuta cheap na affordable electricity to all Kenyans, a target of 90% by 2018
Hiyo ndio sababu Kenya ilishelve kuweka stima, miaka itakuja ambapo Kenya ina stima yakutosha, hapo itaweka stima kwenye treni!! Nyaya za stima zimefuata SGR Nairobi hadi pwani, lakini hadi tuwe na power enough ndio treni ziletwe za stima
Ethiopia ina stima ya kutosha, hasa ukizingatia serikali ya Ethiopia haijaweka mikakati kuhakikisha stima imeenda kila pahali Ethiopia, Asilimia 50 ya watu hawana stima! Hivyo inayobaki wapeleke kwa treni!!
Kenya mwanzo wanatafuta cheap na affordable electricity to all Kenyans, a target of 90% by 2018
Hapa bavicha hutawasikia.....wanasubiria mradi ukwame waje na pumba
Stima si lugha ya Kenya angalia kwenye Kamusi acha kuwapangia watu.Stima huku inaitwa umeme.. ukiwa kwenye jukwaa la waTanzania andika Kiswahili cha waTanzania..
Kingine. Muweke umeme kwenye treni zenu au msiweke hiyo ni shauri yenu, gesi yetu inatosha kabisa kuzalisha umeme wa kuendesha hizo treni ndio maana tumeamua kuweka miundombinu ya umeme kabisa.. hao wanasiasa wenu wanajiandaa kuwapiga tena kwenye hiyo kandarasi ya treni za umeme.. kaeni macho.
Uko sahihi kabisaMkuu wacha1:
The project is about to commence while we are still pushing ourself out of black out!
Remember the incidence of short circuit to Ubungo power plant 2 weeks ago?
All the places connected to National Electrical Grid system had no power..except mtwara region?
We need to put all infrastructure on track before the project commence.
Otherwise , iko siku watu watalala porini
Tusitafitane saizi sawaMotochini sijui kama kichwani uko sawa
Pamoja mkuu!Uko sahihi kabisa
Shida yako kingereza kimekupiga chenga. Hivi wewe una umeme was kutosha kuendesha train?Mpuuzi ww
Huu mradi ni mwanza kwanza huko kwingi bado sana hata upembuzi yakinifu badoSoma melezo vizuri acha uvivu. Hivi unaijua reli ya kati wewe?
Reli inaenda:-
Mwanza
Kigoma
Burundi
Rwanda
Uweunasoma sio kuropoka ropoka.
Miezi 30 ni sawa na kufumba macho na kufunguaHapa naona Morocco tunamuweka pembeni
kisha afuate Ethiopia
ndio waje sasa waleee Walio unguliwa na shoka mpini ukabaki hahaha
Morocco tunakushukuru kutulindia nafasi yetu![]()
Imagine,
ile treni ya kunyata nyata tu imepata ajali pasi na kuwa na sababu za msingi, Leo wanatuambia treni za umeme zinafanyiwa mipango huku shida ya Umeme ikitatuliwa..
Kama shida ya umeme imechukua miaka 50+ mpaka sasa, tegemea hiyo treni ya umeme kuwasili bongo mwaka 2051.
Ukiamka usingizini urudi
Tumezidisha mbwe mbwe ,, mradi wenyewe Upo kwenye makaratasi tu lakini utadhan tren imeshapiga tripu kadhaa za Dar- Tabora.
Kwa hakika debe tupu.............