Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Aisee kama ni Kweli hii kitu na kama itafanyika kama inavyoelezewa,.... Sijui niahidi nini.. Ila tu Mungu atubariki Tanzania.
 
Tumezidisha mbwe mbwe ,, mradi wenyewe Upo kwenye makaratasi tu lakini utadhan tren imeshapiga tripu kadhaa za Dar- Tabora.

Kwa hakika debe tupu.............
 
Umeongea jambo la maaana sana maana wa-Tz wengi wamekalia ushabiki tu bila kuangalia Stima itatoka wapi ila ni kushangilia hata kama ni stories.
Stima hakuna ya kuwasha taa Tu. Hiyo ya kuendesha Tren inapatikana wapi
 
Hapa bavicha hutawasikia.....wanasubiria mradi ukwame waje na pumba
 
Stima si lugha ya Kenya angalia kwenye Kamusi acha kuwapangia watu.
 
Uko sahihi kabisa
 
Soma melezo vizuri acha uvivu. Hivi unaijua reli ya kati wewe?
Reli inaenda:-
Mwanza
Kigoma
Burundi
Rwanda

Uweunasoma sio kuropoka ropoka.
Huu mradi ni mwanza kwanza huko kwingi bado sana hata upembuzi yakinifu bado
 
Hapa naona Morocco tunamuweka pembeni
kisha afuate Ethiopia
ndio waje sasa waleee Walio unguliwa na shoka mpini ukabaki hahaha

Morocco tunakushukuru kutulindia nafasi yetu
Miezi 30 ni sawa na kufumba macho na kufungua
 
Imagine,
ile treni ya kunyata nyata tu imepata ajali pasi na kuwa na sababu za msingi, Leo wanatuambia treni za umeme zinafanyiwa mipango huku shida ya Umeme ikitatuliwa..

Kama shida ya umeme imechukua miaka 50+ mpaka sasa, tegemea hiyo treni ya umeme kuwasili bongo mwaka 2051.
 
Ukiamka usingizini urudi
 
Tumezidisha mbwe mbwe ,, mradi wenyewe Upo kwenye makaratasi tu lakini utadhan tren imeshapiga tripu kadhaa za Dar- Tabora.

Kwa hakika debe tupu.............

Hakika mbwembwe zinazidi mategemeo!

sisi kwa masuala ya mipango tu tuko juu!ila inapokuja suala ma utekelezaji hapo ndio pumba na mchele hutenganishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…