Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,927
Habari za usiku huu!
Najiuliza wazungu huku Afrika wanakuja wengi sana kutalii wengine kazi, na chungu nzima wapo humu.
Nasisi je huwa tunaweza kwenda kwao kama huku tu na kwenda kuangalia mbuga za wanyama, na milima tukapiga picha na kuvaa zile kofia kubwa za kitalii mabegi mgongoni.
Kama wapo basi ni wachache sana huwa wanaenda.
USISEME HATUNA HELA SEMA SINA HELA 🤦🤪🏃🏃