Huwa tunaenda kuangalia binadamu mwenye akili anavyoishi na hatua alizopiga kimaendeleoUlaya hakuna mbuga.Wakienda Ulaya wanaangalia vivutio vingi ambayo binadamu katengeneza. Waafrica kibao huwa wanakwenda kutalii ulaya.Milima pia ipo mfano milima ya Alpes waafrica wanakwenda kuteleza kwenye barafu.